Iran vs. US military capabilities

Iran vs. US military capabilities

britanicca

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2015
Posts
17,181
Reaction score
41,655
Iran vs. US military capabilities:

Budget
Iran: $6 billion
US: $716 billion

Troops
Iran: 523,000
US: 1.3 million

Aircraft
Iran: 509
US: 13,398

Navy vessels
Iran: 398
US: 415

Nukes
Iran: not known
US: 6,185

Missile range
Iran: 3,000 km
US: Any place on Earth

IMG_20200105_165423.jpg
 
Vita katika eneo la Mashariki ya Kati si ya kuiombea ama kuishabikia kwa vyovyote vile. Kwa sababu ina athari kubwa sana za kiuchumi, hasa kupitia ongezeko la bei ya mafuta duniani. Ukigusia USA na washirika wake ama Iran na washirika wake wakubwa ikiwemo Russia, fukuto lolote lile lenye kuendana na ulipaji wa visasi wenye kulenga kushambulia vitega uchumi utaligusa kabisa soko la mafuta.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Iran vs. US military capabilities:

Budget
Iran: $6 billion
US: $716 billion

Troops
Iran: 523,000
US: 1.3 million

Aircraft
Iran: 509
US: 13,398

Navy vessels
Iran: 398
US: 415

Nukes
Iran: not known
US: 6,185

Missile range
Iran: 3,000 km
US: Any place on Earth

View attachment 1313146
Kasome hotuba ya Mwalimu wakati wa vita vya Kagera inaitwa "Moyo kabla ya silaha" utajua kwenye vita kuna mambo mengi sana,ikiwemo jiografia kwa mfano ili Marekani iweze kuishambulia Iran inahitaji base,na je Iran imezungukwa na maadui au washirika? Kama ni washirika Marekani itapata wapi base,manake haiwezi kushambulia kutokea Marekani lazima kuwe na kituo kwa ajili infantry ili kuteka miji nk mashambulizi ya anga peke yake hayatoshi kuiangusha nchi,kama yangeweza leo tusingekuwa na Houthi pamoja na Bashar Al Assad
 
Angetumia nyuklia weapons mngepiga kelele
Yaani kina Saudi wangekuwa na akili walitakiwa waungane na Iran,USA haitakii mema Middle east.Iran sasa najua lazima atumie akili kubwa sana.Migogoro ni ya miaka na miaka sasa,Iran sasa anamfahamu vizuri USA.Kumbuka vita vya ghuba ya uajemi hawa Iran walikuwa pro America katika kuivamia Iraq,look at now Iran wamekua adui wa USA.
Huhitaji kuwa rocket scientist kuelewa kuwa USA ni chokochoko mkubwa.
 
Mungu tu apishie mbali. Hiyo itakuwa vita mbaya kuliko yoote ilowahi kupiganwa duniani. Tusilinganishe Marekani ya leo na ile ya Nixson, miaka hiyo. Kumbuka Marekani ameweka vituo kuizunguka Iran. Atakuwa hapigani vita akiwa nyumbani wakati Iran inapigana ikiwa nyumbani. Hii ina maana Irani itakuwa inalinda nyumbani na kumpiga adui. Iran italia kilio cha mbwa mwizi. Siombi vita ila alipofika Ayatollah ningetamani Mmarekani amkate huo ukucha
 
Yaani kina Saudi wangekuwa na akili walitakiwa waungane na Iran,USA haitakii mema Middle east.Iran sasa najua lazima atumie akili kubwa sana.Migogoro ni ya miaka na miaka sasa,Iran sasa anamfahamu vizuri USA.Kumbuka vita vya ghuba ya uajemi hawa Iran walikuwa pro America katika kuivamia Iraq,look at now Iran wamekua adui wa USA.
Huhitaji kuwa rocket scientist kuelewa kuwa USA ni chokochoko mkubwa.
Siku zote usiwaamini waarabu ni wanafiki sana
 
Back
Top Bottom