Iran: Tupo tayari kuwasaidia wapiganaji wa Kipalestina kwa kila hali

Palestina imezingirwa kila kona naisraili ndomana inakua ngum wairan kupitisha makombora,ila kwasasa naona israili iko mahala pagum sana kwasababu muiran ameanza kujenga kiwanda chamakombora chin ya ardhi ya sirya sikilizien mziki muda sii mrefu,
 
Wakati wa vita ya hamasi na Israel iliyo pelekea waparestina zaidi ya 2000 kufa wao Iran walikua wapi? Iran wasitafute kiki kwenye maisha ya waparestina.
 
Palestina imezingirwa kila kona naisraili ndomana inakua ngum wairan kupitisha makombora,ila kwasasa naona israili iko mahala pagum sana kwasababu muiran ameanza kujenga kiwanda chamakombora chin ya ardhi ya sirya sikilizien mziki muda sii mrefu,
Mbona Israel kashakilipua kitambo sana (last month)
 
Kama ulikua hufahamu, Iran imekua ikiwasaidia wapiganaji hao kwa miaka mingi, Iwe kwa Fedha, ushauri, mafunzo ,silaha n.k ila mbinu za kupambana na Israel kwa kutumia mtutu wa bunduki kumeiletea Parestina matatizo makubwa mno. Ni bora waendelee kutumia mazungumzo japo yatachukua muda mrefu sana ila sirahisi kuwashinda Israel kwa bunduki.
 
Back
Top Bottom