Iran threatens to destroy Israel within a week

Status
Not open for further replies.
 
tusofurahie hili jambo kwa sababu zetu binafsi au za kiimani tulizonazo ukweli ni kwamba litapokuja la kutokea hata uku africa tuta suffer, war is always not a good thing weather kwa kutamani ku occupy au kudai haki! kwa hali za uchumi za dunia zilivyo kwa sasa nchi kama zetu zilizozoea omba omba ndio tuta suffer zaidi!
 
yote hayo Iran wamejitakia wenyewe na raisi wao hivi we fikiria rais wa kenya angesema anataka Tanzania wiped out on the map mnge respond vipi
 
Israel ni Taifa la Mungu aliye Hai Muumba wa Mbingu na Nchi (YEHOVA). ma-irani na maarabu yote na wote wanaowaunga mkono maarabu na miungu yao ala na mwamedi ni mataifa ya shetani.
Wacha upumbafu wewe hata Jesus anawapinga mnao muabudu kalaleni huko kazi kujitungua dini za uwongo.

Tazama video hio upate akili.


 
Last edited by a moderator:
Wacha upumbafu wewe hata Jesus anawapinga mnao muabudu kalaleni huko kazi kujitungua dini za uwongo.

Tazama video hio upate akili.



hizi video hazifai humu jamvini. Kukubali bibilia au Koran is a matter of personal conscience and choice. So unapoweka hizi video hapa, Je unaelewa the consequences that you are subverting the original agenda of the title of this thread. Ikiwa mnataka debate kuhusu Bibilia na Koran, tafadhali create a new thread hapa JF kwenye the right forum. tafadhali, tunataka facts not kupingana ambayo haina msingi.
 
Last edited by a moderator:
Yeah tunajua hazifai lakini nani kanza kulete ujinga hapa tazama huyu jama ndo kasababisha ->>
Israel ni Taifa la Mungu aliye Hai Muumba wa Mbingu na Nchi (YEHOVA). ma-irani na maarabu yote na wote wanaowaunga mkono maarabu na miungu yao ala na mwamedi ni mataifa ya shetani.
->>Sasa usisahau sisi tuna dalili nyingi za kuwashinda sababu wanacho kiabudu hajakiabudu Jesus...Wala Jesus hakusema wakiabudu afu wanataka kutuita sis mashetani wakati wao ndo mashetani.


Eti isreal ni taifa la mungu...wapi Mungu kasema vile, Isreal ingekuwa taifa la Mungu mbona mayahudi wa Ethopia wanakufa na njaa na wayahudi wanakimbilia marekani na europe...wengine tunao nchi za kiarabu...Sijasikia mungu anaomba msada...Lakini isreal anaomba msada...Sijasikia Mungu anamuogopa shetani lakini taifa la mungu linamuogopa huyo mnaye msema shetani (Iran).
 
Shida ilipo kwa upande mwingine ni kuhusiana suala la imani.

Kwa mfano bible ina claim kwamba kuna wana wa Isarel 40, 000 watakaoingia peponi for free!

Uko Iran nako, wanaamini kabisa kuwa kwa mujibu wa dini yao, vita hivi ni vile vya armagedeon, wanaamini kwa mujibu wa Allah, vita hivi ni lazima vitokee na mwisho wake ndo kama alivyosema Ahmedinejad, siyo kwamba wanatisha nyau, bali ndivyo wanavyoamini, so given all those issues, unaweza kuona kuwa imani pia nazo zinachangia conflicts kwa kiasi kikubwa sana kwenye maisha ya wanadamu.
 
Iran itapigwa mwaka huu. Ila haitapigwa mwanzoni mwa mwaka itapigwa mwisho sometimes in October. Ikipigwa mapema uchumi wa dunia utayumba na kuhatarisha chaguzi za France na US. Kinachoendelea sasa ni lini wapige na jinsi ya kukabiliana na retarliation toka Iran. US ilikuwa inafungwa na vita ya Iraq. Iran kama wanahitaji kuepuka kipigo basi ni dhahiri wanatakiwa kukubaliana na matakwa ya wakubwa.
 
Mkuu Hofstede, uchumi uyumbe mara ngapi tena mkuu?

Europe tena ndo noma zaidi kutokana na fear of default and so forth, uchumi wa Europe uko mahututi.

Sana sana watapata nafasi ya kuwaangushia Iran lawama zote endapo wananchi wengi watakuwa wanasapoti vita hivyo.

Na kwa historia ilivyo, kama mu Israel ataanzisha vita, haitowezekana hata siku moja population za nchi za magharibi zikapingana na issue ya kuwasapoti Israel dhidi ya taifa lolote la middle east, mara nyingi supporting Israel ndicho kinachowaingiza madarakani sometimes viongozi wa nchi kama marekani.

Ninaiamini taarifa hii zaidi, but lets wait and see.

Kama ambavyo kuna watakaombebesha Obama lawama za uchumi ulioingizwa matatani na Bush, ndivyo hivyo Iran watakavyobebeshwa lawama za uchumi na bei ya wese kupanda nk, hii ni kwasababu Iran lazima watajitahidi kulinda strait of Hormuz ambapo ndipo penye mgogoro mkubwa zaidi, hilo peke yake litapelekea iwe rahisi zaidi kuwaunganishia Iran lawama za masahibu ya uchumi wa dunia na bei ya mafuta.

Muisrael yeye naona plan yake siyo kuanzisha an all out war, ila anataka amrudishe mu Iran nyuma kwenye technolojia yake ya uranium, na anadhani kwamba shambulizi hilo litawarudisha nyuma Iran for 4 years technologywise, na plan yake ni kwamba atakuwa anamuatack mu iran every after four years, na pia kwa upande mwingine, wamekuwa wakiwawinda hao mascientist na wamewaondoa kadhaa.

Kitakachosubiriwa, ni reaction ya Muiran ambapo hakuna anayejuwa atafanya nini zaidi ya ukweli kuwa wana proxy ya Hizbolah.

So nionavyo mimi, Israel atazishambulia hizo sehemu za ku enrich uranium, Hizbolah wataretaliate nk.

Mmarekani na wengineo wataingia ngomani kama Iran either akifanya kweli kuhusu kuiblock hiyo Strait of Hormuz, ama kama akimpiga Israel na bomu kubwa litakaloleta madhara mengi kwa raia, hizo sababu mbili zitamwingiza mmarekani vitani, and maybe others...
 
Nadhani wanataka leta 3rd WW
Very likely they wanna do that.

Chumi zao ni lazima zijengwe, na ukisoma historia, mara zote ni vita vimewatoa, mimi nawashangaa sana wanaodhani kuwa haya mataifa makubwa yanaona vita ni jambo baya, kama computer, internet, na GPS etc viko attributed to world wars, then usishangazwe kuwa ikawa triggered.

Hivyo ni baadhi tu, lakini maendeleo mengi ya kwenye technolojia yameletwa na vita.
 
The answer is simple! Because you don't want to believe..

Let me agree that I don't believe. But let me tell you this you have a very narrow definition of God, and I don't blame you because enlightenment isn't an easy feet to achieve.
 
Nadhani wanataka leta 3rd WW
Hakuna 3rd WW kwani kwa sasa mataifa makubwa japo wanakwaruzana lakini wako makini kwa mitizamo au msimamo nje ya macho ya wahandishi wa habari.
Itakuwa vita kama nyingine na yawezekana ikachukua muda mfupi,kutokana na umuhimu wa mlango wa Hormuz.
 
Taifa litainuka kupigana na taifa nchi kwa nchi falme kwa falme Mtasikia matetesi ya vita mahali mahali....Mfihofu huo ndio mwanzo wa utungu lakini ule Mwisho bado....Watakuja manabii wengi wa uwongo.wamevaa mawazi ya kondoo lakini kwa nje ni mbwa mwitu wakali......Jiepusheni nao!..........ILA MKIONA CHUKIZO LA UHARIBIFU LIMEINGIA HEKALUNI...basi aliyeko darini asishuke wala aliyeko shambani asirudi nyumbani!
 


Lizzy,

Please read my post. If you pray to God and let GOD solve your problems, you will be doing something bigger than your own efforts. So I didn't say they should wait.

Second the questions in my previous post were rethorical at best. In the Bible we find that every creation in the universe is GOD's creation. Jews, Iranians, Tanzanians, Eskimos etc are GOD's creation, and it's a very wrong to call Iran the nation of Satan. It's true that individuals, group of people, or nations can go astray. Even in those situation, however, we are still GOD's children.
 
As far as the bible is concerned, Israel is the nation of God, sisi wengine nadhani tunafuatia tu, mainly kwa wenye kuamini, ili uweze kutambuliwa na Mungu kama Muisraeli anavyotambuliwa, basi ni kwamba utafanikiwa kufanya hivyo only kwa kupitia Jesus Christ, otherwise Israel peke yao ndo watu wa Mungu, fwatilia mkuu...

Na kuna 40,000 wana tiketi ta kuingia heaven for free, i stand to be corrected...
 
 
 

Could you please give me the meaning of the word NATION when the Bible was written?
 
Sasa hili litakua Tifu la aina yake watu msifikirie Iran ni mjinga, yeye ana mabomu mengi tu makubwa haya Intercontinental ballistic missile ambazo anaweza kabisa kupiga miji kadhaa ya US na pia Israel bila shida...na kila leo anazidi kujiweka sawa kijeshi wakorea ya Kaskazin wanamsaidia na pia Russia kwa hiyo come what may if they set foot on the battle field...itakua vita kubwa sana wala si mchezo na hat haya mambwa ya US yanajua Iran sio Iraq wala Libya...ina jeshi kubwa na la kisasa kabisa..wait u see hilo tifu...
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…