Iran, Russia.....? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Iran, Russia.....?

Discussion in 'International Forum' started by DAVIES, Mar 7, 2012.

 1. D

  DAVIES JF-Expert Member

  #1
  Mar 7, 2012
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 513
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 45
  Jamani jukwaa hili naombi la kufafanuliwa hili Hivi ninini hatma ya vitisho vya urusi kwa Marekani na partner zake bara la ulaya kuhusu marekani kutaka kuweka silaha nzito ulaya huku zikielekezwa Irani? tatizo ni vitisho vya wazi vya urusi pia kuna nini nchini syria je nikweli mgogoro wa syria utasababisha vita ya dunia WWIII na nchi ya misri ni kweli inataka kulipoteza taifa la Israel baada ya kushindwa mara mbili nahitaji kueleweshwa kwa hili maana "Lisemwalo lipo kama halipo basi linajongea" NAWASILISHA
   
 2. Kabaridi

  Kabaridi JF-Expert Member

  #2
  Mar 7, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 2,028
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  Sio lazima uelezwe kuwa silaha nzito zikiwa mikononi mwa maghaidi ni tishio kwa usalama wa dunia, haswa wakati huu ambao ulimwengu wa kiarabu imechafuka mno. Urusi watabaki peke yao wakipiga domo na ma veto ya umoja wa mataifa kuishtua Marekani. Iran, imeweza kujiami vilivyo na ni lazima jambo litendeke. Moja ya mataifa ya hapo mashariki ya kati itahesabu hasara hivi karibuni, aidha Syria au Iran, maana ndio mataifa bila serikali za majimbo.
   
 3. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #3
  Mar 7, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,435
  Likes Received: 19,784
  Trophy Points: 280
  yap hali inavyoenda kuna nchi moja hapa lazima ile kwake kwa kujifanya kidume
   
 4. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #4
  Mar 7, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,818
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  unachotakiwa kujua ni kwamba USA walitaka kuweka missile shield poland wao wakisema wanaweka kwa ajili ya iran,ila ingeweka hapo-russia angekuwa kwenye wakati mgumu maana ilikuwa inamhusu pia-so russia akatishia kudeploy nuclear missiles zake kwenye boda yake-kiytu ambacho kinawapa wakati mgumu other NATO members.
  ila Obama amesimamisha hili zoezi kwanza-hadi 2018 ambapo by 2020 system itakuwa operational-ukiachilia mbalia kaona ni bora ajiingize kwenye mchakato mwingine.
  misri haina uwezo wa kuipoteza israel-hilo wanalijua na kuna mikataba ya kijeshi walishawekeana so hata swala la kupigana bado kwao ni gumu kutokea-iran ndo inapayuka kuwa itaipoteza israel kwenye ramani ya dunia.
  ww3 ni anticipation tu ndo zipo-ila kama itatokea basi itakuwa worse than ww1 and ww2 combined
   
Loading...