Iran prepares to open new front in Western Africa

Lebanon, Iraq, Syria, Yemen ana vikundi vyake vya kigaidi anavifadhili.
Jiulize kwanini hapatani na Saudia?
Lebanon ushaambiwa Hizbollah haijatambulika kuwa kikundi cha kigaidi mpaka leo bali inatambulika kama kikundi cha washika silaha.
Hizbollah ndio iliyookoa Bint jubeir isikaliwe na Israel unawaitaje magaidi??
-Iraq wanapambania ardhi yao.
-Syria Iran ilisimama kumzuia Assad asitolewe madarakani
-Yemeni houthi KAFUATILIE HISTORIA YAKE KILE KILIKUA CHAMA CHA SIASA TOKA 1990s.
Na alichofanya Iran ni kuwasapoti ili wamtoe madarakani Mansour asiyependwa na raia wa Yemen.
Na hapo ndio Saudia na Iran wakawa hawapatani .
Saudi arabia alikua na geopolitical reasons za kutokupatana na Iran pia sababu nyingine ilikua ni USHIA NA USUNNI.
ILA SASA HIVI IRAN NA SAUDIA WANAPATANA NA WAMEFUNGUA BALOZI ZAO LABDA KAMA HAUJUI.
 
Hamas ni political Organizations yenye mlengo wa kigaidi. Imejidhihirisha Oct 7 ilipofanya mauaji ya kikatili dhidi ya raia. Hezbollah inalinda maslahi gani Lebanon zaidi ya kuendesha harakati zake za kigaidi dhidi ya Israeli huku ikitumiwa na Iran?
😂😂😂😂😂😂.
Hapo ulipo bro unaongea hisia na maneno ya kukariri yasiyo na uhalisia wowote.
Kabla ya okt7 unajua Israel aliwafanyia nini Palestina??
Mbona hao Hamas hawakufanya fujo kipindi cha Yair Lapid??
Hivi unajua bila hizbollah BINT JUBEIR ISINGEKOMBOLEWA?
HIvi unajua bila hizbollah mpaka wa bahari wenye gesi na mafuta wa Lebanon wote angeuchukua Israel??
Come ooooooon brooo acha kuongea talantalila.
 
hamas, Hezbollah wanatofauti gani na bokoharam, isis nk?
Hamas wana lengo kabisa nalo ni kuondoa wavamizi wa Israel na kuanzisha taifa la Palestina. Kuna Gain wanaitafuta na kwa Sheria kabisa za umoja wa mataifa Hamas wanatambulika kama freedom fighters, Nchi zinazoitambua Hamas kama magaidi ni Chache Usa na washirika wake, ila Dunia nzima hawatambui kama Hamas ni magaidi na nchi kubwa kubwa kama China kila siku umoja wa Mataifa wanatoa vifungu vinavyoonesha Hamas sio magaidi. Tutaongelea gaidi ni nani huko chini

Hezbollah ni private Army kama vile unavyosema Wagner, ama Blackwater, na wanatambulika kabisa na serikali ya Lebanon, in short ni washirika wa Serikali ya Lebanon, nao pia wana clear aim.

Magaidi ni kina nani? Unapoongelea terrorism inatokana na neno Terror, kwa kiswahili hofu, haya ni makundi ambayo hayana shida na hela, wala monetary gain yoyote wanafanya matukio ili kutengeneza taharuki, mfano mtu analipua jengo ama train ili kutisha watu huyo ni gaidi.

Mostly Magaidi wa Middle East ni proxy wa Usa/Israel ku distabilize maeneo ambayo wameshindwa kuweka ushahiwishi wao.
 
Lebanon ushaambiwa Hizbollah haijatambulika kuwa kikundi cha kigaidi mpaka leo bali inatambulika kama kikundi cha washika silaha.
Hizbollah ndio iliyookoa Bint jubeir isikaliwe na Israel unawaitaje magaidi??
-Iraq wanapambania ardhi yao.
-Syria Iran ilisimama kumzuia Assad asitolewe madarakani
-Yemeni houthi KAFUATILIE HISTORIA YAKE KILE KILIKUA CHAMA CHA SIASA TOKA 1990s.
Na alichofanya Iran ni kuwasapoti ili wamtoe madarakani Mansour asiyependwa na raia wa Yemen.
Na hapo ndio Saudia na Iran wakawa hawapatani .
Saudi arabia alikua na geopolitical reasons za kutokupatana na Iran pia sababu nyingine ilikua ni USHIA NA USUNNI.
ILA SASA HIVI IRAN NA SAUDIA WANAPATANA NA WAMEFUNGUA BALOZI ZAO LABDA KAMA HAUJUI.
Inshort Iran anatumia vikundi vya kigaidi kutanua ushawishi wake pamoja na kulinda maslahi yake hapo Middle East. Waafrika tuchukue tahadhari kubwa sana
 
Hamas wana lengo kabisa nalo ni kuondoa wavamizi wa Israel na kuanzisha taifa la Palestina. Kuna Gain wanaitafuta na kwa Sheria kabisa za umoja wa mataifa Hamas wanatambulika kama freedom fighters, Nchi zinazoitambua Hamas kama magaidi ni Chache Usa na washirika wake, ila Dunia nzima hawatambui kama Hamas ni magaidi na nchi kubwa kubwa kama China kila siku umoja wa Mataifa wanatoa vifungu vinavyoonesha Hamas sio magaidi. Tutaongelea gaidi ni nani huko chini

Hezbollah ni private Army kama vile unavyosema Wagner, ama Blackwater, na wanatambulika kabisa na serikali ya Lebanon, in short ni washirika wa Serikali ya Lebanon, nao pia wana clear aim.

Magaidi ni kina nani? Unapoongelea terrorism inatokana na neno Terror, kwa kiswahili hofu, haya ni makundi ambayo hayana shida na hela, wala monetary gain yoyote wanafanya matukio ili kutengeneza taharuki, mfano mtu analipua jengo ama train ili kutisha watu huyo ni gaidi.

Mostly Magaidi wa Middle East ni proxy wa Usa/Israel ku distabilize maeneo ambayo wameshindwa kuweka ushahiwishi wao.
Matendo ya mauaji ya kikatili dhidi ya raia yanayofanywa na hamas, Islamic jihad, Hezbollah nk yanatofauti gani na bokoharam, alshabaab, alqaeda?!
 
Inshort Iran anatumia vikundi vya kigaidi kutanua ushawishi wake pamoja na kulinda maslahi yake hapo Middle East. Waafrika tuchukue tahadhari kubwa sana
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Kama USA ametumia magaidi kama ISIS na kifanya regime change kulinda maslahi yake kwanini Iran asifanye hivyo??
Au kunya anye kuku akinya bata kaharisha?
 
Du kuna watu wanawaza wazungu. Hata akijamba anataka kinukie kizungu. Huu ulimwengu wa sasa unahitaji win win situation ambacho wanaopendwa hawataki. Mwisho huwaita watu wengine majina mabaya.

Jiulize tu Gadafi alikosa nini kama alikua mbaya leo Libya ipo wapi?
 
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Kama USA ametumia magaidi kama ISIS na kifanya regime change kulinda maslahi yake kwanini Iran asifanye hivyo??
Au kunya anye kuku akinya bata kaharisha?
Isis sio product ya US. Ni propaganda tu
 
Iran inajulikana ni mfadhili wa ugaidi duniani. Waafrika tuchukue tahadhari
Chukuwa wewe tahadhari Naiger sio Zanziber, Lukuvi awaamulie kwani Congo wapo Iran eh? Tanzania haitowahi kuwa na maendeleo unless wazaliwe watu wenye akili halafu nchi igawiwe waislam wawe kwao na wakristo wawe kwao,vinginevo sioni kama kutakuwa na maendeleo kwa chuki hizi za kidini.
 
Matendo ya mauaji ya kikatili dhidi ya raia yanayofanywa na hamas, Islamic jihad, Hezbollah nk yanatofauti gani na bokoharam, alshabaab, alqaeda?!
Assume ni kweli wanafanya hayo matendo ya kikatili japo ni debate, hayawafanyi wawe magaidi sababu hawana sifa za magaidi. Marekani anaua mara 1000 zaidi ya Hezbollah ni gaidi? Jeshi la urusi linaua zaidi mara 1000 haliitwi magaidi, ukienda Congo wanauana kila siku ila hawaitwi magaidi. Mtu anaeua sio gaidi, unakua gaidi ukiua kwa sababu ya kuleta hofu bila sababu maalum.

Ukiua ili uingie madarakani wewe ni muasi sio gaidi, ukiua ili kutoa watu wanaotawala eneo lenu wewe ni freedom fighter, ukiua ili kupora Mali za watu wewe ni jambazi, ukiua ili kuwinda Wanyama wewe ni jangili etc so kuua doesn't make you automatic ni gaidi.
 
Isis sio product ya US. Ni propaganda tu
Tushakuekea video kibao humu unaamini basi, hata Marekani wakisema wenyewe wanafadhili Isis hutaamini.

Juzi tu kama wiki 2 zilizopita kikundi kinachifafhiliwa na Usa kimemteua jamaa wa isis awe kiongozi wao

Huyu former FBI anakiri Isis ni zao lao

View: https://twitter.com/real1maria/status/1756234044251963542/mediaViewer?currentTweet=1756234044251963542&currentTweetUser=real1maria
 
Iran has sent its top government officials to Niger following the departure of the US military from the country.

U.S officials have stated that Iran is negotiating a deal to have TOTAL control of Nigers Uranium Mines.

In exchange Niger will recieve the full backing of Iran, militarily, economically and politically.

This would mark the first time in over 2000 years that Iran has expanded it’s influence into the African Sphere.

Iran’s aims to unify the African Nations into forming an economic powerhouse, finally connecting Africa to Asia

🔗Iran spectator

🇮🇷@NEWWORLDORDYR
Why Africa always seek solutions for Africans" problems everywhere else but not within Africa. Africa will never succeed until we have leader who act like grown up people. The leaders who know African issues can only be solved by Africans themselves. I
 
  • Thanks
Reactions: rr4
Chukuwa wewe tahadhari Naiger sio Zanziber, Lukuvi awaamulie kwani Congo wapo Iran eh? Tanzania haitowahi kuwa na maendeleo unless wazaliwe watu wenye akili halafu nchi igawiwe waislam wawe kwao na wakristo wawe kwao,vinginevo sioni kama kutakuwa na maendeleo kwa chuki hizi za kidini.
povu la nini?! Ukweli unauma eeh
 
Back
Top Bottom