Hamas ni political organisation iloamua kushika silaha dhidi ya udhalimu wa Israel.
Hizbollah inalinda maslahi ya Lebanon na mpaka sasa UN yenyewe haijawahi itambua Hizbollah kama terrorist organisation,wewe ni nani mpaka uitambue kama terrorist organisation?
Hamas aliyelazimisha ijulikane kama terrorist organisation ni UK na USA mataifa yakampinga mengi tu.
Au wewe una akili kuliko hao??
Bokoharam ni kikundi kisichojua kinapambania nini kazi yake ni utekaji na unyang'anyi.
Unawafananishaje na hizbo na hamas??