Hata mimi hii imenishangaza kidogo,ila binadamu unapoamua kujikita kwenye kumtukuza Mungu ndipo shetani anakuwa na vita kali sana na wewe,so its obvious...kuna waislam, kuna waumini wa kiislam.na
UISLAM.
Sio kila muislam ni muumini.Hata mimi hii imenishangaza kidogo,ila binadamu unapoamua kujikita kwenye kumtukuza Mungu ndipo shetani anakuwa na vita kali sana na wewe,so its obvious...
Dah!pole sana, Haujui hata maana ya big news!Huenda ikawa ni big news kwa mtazamo wako I can't argue. Hongera for showing your character