Iran ni nchi ya ajabu sana

Iran iliaandaa tuzo na zipo kwa mda mrefu wakampa ugur sahin mwaka 2019, ugur sahin kampuni yake na ubia wa Pfizer kampuni ya marekani wakawa wakwanza kuja na Kinga ya covid-19

Ayatollah anadai nchi yake haitatumia chanjo za nchi za magharibi, kumbuka ugur sahin kampuni yake imesajiliwa ujerumani kwa maana hiyo ni kampuni ya nchi za magharibi

Swali la kujuiliza kulikua na haja gani ya kumpa tuzo ugur sahin huku bidhaa yake hamtaki kuitumia, haya ndo maajabu ya irani
UNATAKIWA KUFAHAMU KWAMBA HATA MKEO USIMWAMINI NA IKITOKEA UMEGUNDUA UOVU WAKE BADO UTAKAA NAYE ETI KISA MMEFUNGA NDOA ? IRANI KUKATAA CHANJO YA USA SIYO HABARI YA KUKUFANYA UONE NI NCHI YA AJBU NI JAMBO LA KAWAIDA HATA NDUGUYO UKIGUNDUA NI MCHAWI UTAENDELEZA UHUSIANO NA YEYE TUMIA AKILI.
 
UNATAKIWA KUFAHAMU KWAMBA HATA MKEO USIMWAMINI NA IKITOKEA UMEGUNDUA UOVU WAKE BADO UTAKAA NAYE ETI KISA MMEFUNGA NDOA ? IRANI KUKATAA CHANJO YA USA SIYO HABARI YA KUKUFANYA UONE NI NCHI YA AJBUch NI JAMBO LA KAWAIDA HATA NDUGUYO UKIGUNDUA NI MCHAWI UTAENDELEZA UHUSIANO NA YEYE TUMIA AKILI.
Chanjo sio ya marekani kwa kukusaidia mpotoshaji
 
Chanjo sio ya marekani kwa kukusaidia mpotoshaji
WENYE NCHI YAO WAMESEMA HAWATAKI CHANJO YA KUTOKA WASIKOKUTAKA WEWE UNATAKA KULAZIMISHA WAFUATE UNAVYOTAKA? NCHI YAO NA ADUI ZAO WAO WANAWAFAHAMU ZAIDI KULIKO WEWE AMBAYE HATA NCHI YAKO HUIJUI WILAYA ZAKE ZOTE LEO HII UNACHONGOA MDOMO KWENYE NCHI YA WATU HIVI HATA AIBU HUWA HAMUONI KUANDIKA UJINGA?
 
Mkuu ameshasema imeishaa hiyo
IMG_20210109_234242.jpg
 
Iran iliaandaa tuzo na zipo kwa muda mrefu wakampa Ugur Sahin mwaka 2019. Ugur Sahin kampuni yake na ubia wa Pfizer kampuni ya Marekani wakawa wakwanza kuja na Kinga ya covid-19.

Ayatollah anadai nchi yake haitatumia chanjo za nchi za magharibi, kumbuka Ugur Sahin kampuni yake imesajiliwa ujerumani kwa maana hiyo ni kampuni ya nchi za magharibi.

Swali la kujuiliza kulikua na haja gani ya kumpa tuzo Ugur Sahin huku bidhaa yake hamtaki kuitumia, haya ndo maajabu ya Irani
Mkuu ujerumani toka Corona inaanza wapo against na USA, Walimpiga biti LA kutosha USA Kuhusu namna anavyo poach scientist wake.

Hata USA anapowawekea vikwazo China ujerumani hata Hana time, Anaefanya anavyotaka.

Ni nchi ya kimagharibi kieneo ila haina Sera kama za USA, France, Uingereza na kundi Lao.
 
Iran iliaandaa tuzo na zipo kwa muda mrefu wakampa Ugur Sahin mwaka 2019. Ugur Sahin kampuni yake na ubia wa Pfizer kampuni ya Marekani wakawa wakwanza kuja na Kinga ya covid-19.

Ayatollah anadai nchi yake haitatumia chanjo za nchi za magharibi, kumbuka Ugur Sahin kampuni yake imesajiliwa ujerumani kwa maana hiyo ni kampuni ya nchi za magharibi.

Swali la kujuiliza kulikua na haja gani ya kumpa tuzo Ugur Sahin huku bidhaa yake hamtaki kuitumia, haya ndo maajabu ya Irani
Tuzo vs National interest (security) serious mkuu,
Em pima uzito wa hizo kitu 2!!!
 
Hizo ndo conspiracy theories wazungu wangeamua kuua watu wengine wangeshafanya siku nyingi sana

Mfano carribean na Americans waafrika wengi waliachwa mpaka leo tunawaona Ila uarabuni wengi waliuliwa na kuhasiwa

Wazungu wanamapungufu yao lakin sio Kama hao watu wengine Kama waarabu, imagine nchi Kama Iran au Saudi Arabia ingekua super power Kama u.s hao watu wengine sio waislamu wangejua wameshafutika kwenye uso wa dunia
Kweli kabisa hivi vibopa vya uarabuni vina roho mbaya na ngumu za kibandidu laiti kama vingekua na power ambayo marekani anayo basi dunia ingeendeshwa kwa sharia za islam

Ni vile tu havijapata hiyo nafasi lakini tunashuhudia ukatili huu
 
Iran sio waarabu mnama
 
kwani Iran haitumii hata dawa moja ya magharibi?panadol?ARV?

kama wanatumia sasa wamagharibi walishindwa nini kuzitumia hizo kuwaangamiza?

Au Corona ni special case?
ARV wanatumia wachache .......panadol hata india zipo ila chanjo ni nchi nzima huona uzito huo
 
Iran iliaandaa tuzo na zipo kwa muda mrefu wakampa Ugur Sahin mwaka 2019. Ugur Sahin kampuni yake na ubia wa Pfizer kampuni ya Marekani wakawa wakwanza kuja na Kinga ya covid-19.

Ayatollah anadai nchi yake haitatumia chanjo za nchi za magharibi, kumbuka Ugur Sahin kampuni yake imesajiliwa ujerumani kwa maana hiyo ni kampuni ya nchi za magharibi.

Swali la kujuiliza kulikua na haja gani ya kumpa tuzo Ugur Sahin huku bidhaa yake hamtaki kuitumia, haya ndo maajabu ya Irani
Wairan na Waarab ni sawa tu, wana ujinga na unafiki fulani hivi.
 
Mswahili wa tandale unamkosoa mbabe na msomi Ayatollah aliewazidi akili hata wazungu. Unadhani wairan kama nyie huko mnaopenda vya bure,,"kwa msaada wa marekani😁😁😁" mnaletewa vyandarua vya bei chee n.k. na hapo hapo mnaletewa chanjo kumbe ni AIDS. Mtanyooka tu
 
Beberu muamini wewe tu beberu ni atari kuliko ukoma!

Mleta mada na vibaraka wake wa jf hawatakuelewa,,,ile test kwa wasauz wengi walipiga kelele sana kufanyiwa majaribio hayo,,,,ya Iran wanajifanya kumkosoa na kumuona mjinga kukataa hiyo chanjo. Kisa ni waislamu ama! Huu upumbavu ndio siupendagi. Flani anapigiwa kelele kisa mwarabu/Persian/Muislamu.
 
Back
Top Bottom