EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,713
- 35,524
Watengeneze chanjo zao wenyewe
Shutuma zipi, unampa tuzo mtu kuwa mwanascience Bora wa mwaka 2019, na utaki kutumia uvumbuzi wake kulikua na haja gani ya kumpa tuzoIran inadai kutoziamini chanjo zinazozalishwa katika mataifa ya Marekani na Ulaya Magharibi.
Well, kila mmoja yuko huru kuamini kile anachotaka kuamini.
Lakini, kutokuwa na imani juu ya kitu fulani isiwe sababu ya kueneza shutuma zisizo na ushahidi wowote kuhusu kitu hicho tena hasa kwa kutumia global media platforms.
Sio rahisiWatengeneze chanjo zao wenyewe
Tanzania pekee ndiyo nchi inayowaamini mabeberu kwa kiwango cha lami!Wamegundua wamarekani watawachanganyia sumu,,wanatengeza chanjo yao wenyewe ama wataagiza Russia,,nchi zenye utu,,
Mabeberu sio wa kuamini sana
basi wapige nyungu tu kama sisi maana hamna namnaSio rahisi
Ugur sahin ni mmarekani usiongee vitu usivyo vijua,Wamegundua wamarekani watawachanganyia sumu,,wanatengeza chanjo yao wenyewe ama wataagiza Russia,,nchi zenye utu,,
Mabeberu sio wa kuamini sana
Utawala wa Iran unazipinga hizo chanjo kwa madai kuwa "haziaminiki na zinaweza kutumika kuyadhuru mataifa mengine".Shutuma zipi, unampa tuzo mtu kuwa mwanascience Bora wa mwaka 2019, na utaki kutumia uvumbuzi wake kulikua na haja gani ya kumpa tuzo
Narudia Tena utampaje tuzo mtu anayetoka nchi usizo ziamin na Kuna uwezekano humjui hata uguru sahin ndo changamoto inapoanzia hapoUtawala wa Iran unazipinga hizo chanjo kwa madai kuwa "haziaminiki na zinaweza kutumika kuyadhuru mataifa mengine"....
Iran maamzi yao inategemea Ayatollah kaamkajeNarudia Tena utampaje tuzo mtu anayetoka nchi usizo ziamin na Kuna uwezekano humjui hata uguru sahin ndo changamoto inapoanzia hapo
kwani Iran haitumii hata dawa moja ya magharibi?panadol?ARV?Mkuu ulivyo viorodhesha sio chanjo! Kama ulikuwa hujuwi juwa leo chakula ni sumu soda ni sumu! Chanjo ni uchawi sijuwi umenielewa chanjo ndio unaweza kuwa uchawi wa laboratory!....
Hizo ndo conspiracy theories wazungu wangeamua kuua watu wengine wangeshafanya siku nyingi sanakwani Iran haitumii hata dawa moja ya magharibi?panadol?ARV?
kama wanatumia sasa wamagharibi walishindwa nini kuzitumia hizo kuwaangamiza?.
Au Corona ni special case?
Yeye ni Mjerumani. Familia yake ilihamia kutoka Uturuki, huyu tangu siku ya kwanza ya shule alisoma Ujerumani, ameendelea kuwa profesa wa biolojia na tiba pale. Hana uraia mwingine ila Ujerumani.Swali langu Kama walikua wanajua hilo kwanin walimpa tuzo mwanascience mwislamu ugur sahin ambaye anaishi ujerumani
Nafkiri hukufaham alivyoeleza hapo juu nafkiri ukisoma vizuri kwa kutulia utamfaham alivyoelezaNarudia Tena utampaje tuzo mtu anayetoka nchi usizo ziamin na Kuna uwezekano humjui hata uguru sahin ndo changamoto inapoanzia hapo
Chanjo na dawa ni vitu 2 tofauti sijuwi unaelewa mjomba! ARV wanatumia wote? Panadol ndio dawa ya kutuliza maumivu tu na wana meza wote?kwani Iran haitumii hata dawa moja ya magharibi?panadol?ARV?
kama wanatumia sasa wamagharibi walishindwa nini kuzitumia hizo kuwaangamiza?.
Au Corona ni special case?
Utofauti wake ni upi na wakati zote zimevumbuliwa nchi za magharibiChanjo na dawa ni vitu 2 tofauti sijuwi unaelewa mjomba! ARV wanatumia wote? Panadol ndio dawa ya kutuliza maumivu tu na wana meza wote?
Umeuliza kuhusu shutuma; nimejibu kuhusu shutuma.Narudia Tena utampaje tuzo mtu anayetoka nchi usizo ziamin na Kuna uwezekano humjui hata uguru sahin ndo changamoto inapoanzia hapo
Hiyo tuzo ilikua ya category gani??? Aliuliza mhaya mmoja hv mwenye certificate ya ugavi.Swali langu Kama walikua wanajua hilo kwanin walimpa tuzo mwanascience mwislamu ugur sahin ambaye anaishi ujerumani
Ni kiburi tu cha watawala wa Tehran (hasa wahafidhina).Wamegundua wamarekani watawachanganyia sumu,,wanatengeza chanjo yao wenyewe ama wataagiza Russia,,nchi zenye utu,,
Mabeberu sio wa kuamini sana
Hatuchomi nini tatizo kwaniSio rahisi
Wana nchi waende Libya waka waulize wana nchi wenzaoNi kiburi tu cha watawala wa Tehran (hasa wahafidhina).
Hao wahafidhina hawajafahamu bado adha wanayopata raia wao kwa kuendekeza siasa za kibabe za kupambana na madola makubwa.