Artifact Collector
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 6,622
- 10,247
Iran iliaandaa tuzo na zipo kwa muda mrefu wakampa Ugur Sahin mwaka 2019. Ugur Sahin kampuni yake na ubia wa Pfizer kampuni ya Marekani wakawa wakwanza kuja na Kinga ya covid-19.
Ayatollah anadai nchi yake haitatumia chanjo za nchi za magharibi, kumbuka Ugur Sahin kampuni yake imesajiliwa ujerumani kwa maana hiyo ni kampuni ya nchi za magharibi.
Swali la kujuiliza kulikua na haja gani ya kumpa tuzo Ugur Sahin huku bidhaa yake hamtaki kuitumia, haya ndo maajabu ya Irani