kimsboy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 8,991
- 17,890
Wakuu,
Kumekua na tetesi na hali ya tahadhari kati ya Israel na Iran na kutishia kushambuliana je, kuna ukweli kuwa huenda wakashambuliana?
Iran mpaka sasa ni adui mkubwa wa Israel kwa kuwahami Wapalestina na Hezbollah ambao ni tishio kwa nchi ya Israel lakini bado Mossad na Israel wapo kimya? Kwanini?
Je, Mossad wameshindwa kabisa kuvishambulia vinu vya kinyuklia vya Iran?
Na Iran nayo adui ni Israel inakuaje hawatumii sera ya pre-attack kumuwahi adui
Jamii Intelligence shusheni vitu