Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 11,244
- 15,062
Kwa hio dogo Iran hatungui hizo ndege hahaha kweli wewe una akili za kuogota makopo wambie USA aruhusu watu wachukue video kwenye base zake zilivyo pigwa unajua USA kwenye mazungumzo ya amani alijipanga tena na kurudisha Radar kule Al Udeid air base, Qatar na Kuwait Al Sabah Air base na Baharain Al Issa Air base na Al Dhafar Air base kule UAE zote kazisafisha leo na huko Oman kapiga Radar jana pia Jordan karibu USA atainua mikono juu aombe solution kama kawaida yake na Iran alivyo Mhuni anamkubalia ili azidi kuleta silaha pale Gulf states ili apate kuzi target na wajinga wanadhani Iran ni mjinga kumbe Iran anaona mbali sanaAcha siasa wewe, Iran uwezo mdogo. Nchi gani anga lake adui anarusha ndege, helcopters anavyotaka.
Nchi gani ambayo adui anajichagulia amuue nani amuache nani, amuue muda gani na sehemu gani?
We unaamini Iran anaweza ingiza pumbu zake Israel au USA na akatoka salama kama wenzake wanavyoingia kwake na kutoka salama?
Swali hili lina jibu la kisiasa na kijeshi kwa pamoja. Mara nyingi si kwamba Iran "haipigi Israel", bali huchagua malengo kulingana na mkakati wake wa kijeshi na kisiasa katika kipindi husika cha mgogoro.Kuna wajinga wengi wanauliza kwanini Iran haipigi Israel anapiga Gulf states na nchi kama Jordan na Syria pamoja na Iraq.
Ukweli Iran target yake ni kuitwanga Israel lakini kumbukeni hizo nchi ndio walinzi wa kwanza wa Israel kuna nchi zilikuwa zinangusha drones, Missiles za Iran zinawapa infomation Israel kama Missiles za Iran zinaelekea Israel kwa hio Iran anazisafisha kwanza hizo nchi afu kipondo atakacho pewa Israel ndio itakuwa mwisho wa Israel.
Time itaongea.
Wewe hata hiyo masjid ubwabwa yenyewe tu huendi siku hizi ndio maana umekuwa muongo hivi.Kuna wajinga wengi wanauliza kwanini Iran haipigi Israel anapiga Gulf states na nchi kama Jordan na Syria pamoja na Iraq.
Ukweli Iran target yake ni kuitwanga Israel lakini kumbukeni hizo nchi ndio walinzi wa kwanza wa Israel kuna nchi zilikuwa zinangusha drones, Missiles za Iran zinawapa infomation Israel kama Missiles za Iran zinaelekea Israel kwa hio Iran anazisafisha kwanza hizo nchi afu kipondo atakacho pewa Israel ndio itakuwa mwisho wa Israel.
Time itaongea.
Iran anajua akirusha Jiwe Tel Aviv basi waandae majeneza ya regime nzima sasa Waliopona kichapo cha last conflict wote hawataki kudedishwa na Netanyahu.
Kupigana na mtu mwenye ngumi nzito sana kama za Koba Kimanga unahitaji daktari na refaree bouncer aamulie hali ikiwa mbaya. Kiufupi Iran anaiogopa Israel, ndio maana alikuwa anamtumia Marekani amshinikize Irael atulia kule Lebanon, ila Israel kagoma na kasema hausiki na huo mkataba wake wa Iran na Marekani.. so mleta mada ndie Mjinga. Jahil tu.
Wewe kenge kweli kichapo kinakuja huko Tela Aviv leo Trump kakimbiza majeshi yake Kuwait kwa njia ya Airport ya Kuwait badala ya kutumia base anayo itumia Kuwait sababu imesambaratishwa karibu yote mpaa Kuwait wanakataza wananchi wasi record video hahaha leo Trump anawambia Gulf states na Israel wamlipe ili awalinde sa zile base zake zilikuwa ni mapambo au hahahaIran anajua akirusha Jiwe Tel Aviv basi waandae majeneza ya regime nzima sasa Waliopona kichapo cha last conflict wote hawataki kudedishwa na Netanyahu.
Kupigana na mtu mwenye ngumi nzito sana kama za Koba Kimanga unahitaji daktari na refaree bouncer aamulie hali ikiwa mbaya. Kiufupi Iran anaiogopa Israel, ndio maana alikuwa anamtumia Marekani amshinikize Irael atulia kule Lebanon, ila Israel kagoma na kasema hausiki na huo mkataba wake wa Iran na Marekani.. so mleta mada ndie Mjinga. Jahil tu.
Leo America kawakimbiza askari zake Kuwait kwa kutumia Kuwait Air port badala ya Al Sabah Air base hahaha Trump anawambia Gulf states na Israel mkitakata protects yetu lipeni sa zile base ziliopo Gulf states si alikuwa analipwa hahaha hakuna watu waoga kama America alafu wanataka vita eti hahahaWanajamba jamba waziwazi Netanyahu juzi kadai wao
watatumia Nuclear wakiguswa👈
Sasa kwanini wasiguswe nawao ndio Walianzisha Vita na Trump kwa pamoja❗️👈
leo Vita ile ile imefufuka tulitegemea nayeye Israel iendelee kupiga Iranian ❗️
lkn wameufyata kimyaaa❗️
na wanaogopa baada gulf state kuchapwa watafuata ni wao!!!
Ndiomana unasikia Netanyahu anasema mimi Simo kwasasa na nikiguswa natumia Nuclear
Iranian kamjibu Netanyahu ❗️
kamwambia mm nina Ardhi kubwa ya kujitutumua upya 👈
lkn ww Eneo una na utapotea mazima 🤣🤣🤣
Nilicheka eti Syria wanadai hizo Missiles hazikufika kwenye base na hakuna askari wa USA huko Syria wanadhani duniani wako wajinga wengi kama Echolima1 na Mlaleo pia nilicheka Jordan naye anadai eti kule Jordan hakuna base ya USA hahaha tena waziri haoni hata aibu kusema uwongo wanadhani watu wako kwenye giza zile za 70Mpaka Syria Base ya Marekani imechakazwa picha wanaficha lkn wanajeshi wa Marekani wameuwawa wa kutosha pale Syria Jordan nako wanaficha wanadai no Damage 😇😇
Tatizo kubwa USA wameshindwa kuzuiya MAKOMBORA ya Iranian Tatizo linaanzia apo👈
Endeleeni kujifariji tu Iran anapigika Kama kawaida!!Nilicheka eti Syria wanadai hizo Missiles hazikufika kwenye base na hakuna askari wa USA huko Syria wanadhani duniani wako wajinga wengi kama Echolima1 na Mlaleo pia nilicheka Jordan naye anadai eti kule Jordan hakuna base ya USA hahaha tena waziri haoni hata aibu kusema uwongo wanadhani watu wako kwenye giza zile za 70