Iran kununua ndege 114 za Airbus

hivi kwa nn watu weusi tunajidharau sana na tunapenda kusifia vitu wenzetu? Ulivyoanza naona unazisifia USA na Israel ndiyo wana technology kubwa lakini black people we need to change tumezidi kushadadia yasiyo tuhusu
 
hivi kwa nn watu weusi tunajidharau sana na tunapenda kusifia vitu wenzetu? Ulivyoanza naona unazisifia USA na Israel ndiyo wana technology kubwa lakini black people we need to change tumezidi kushadadia yasiyo tuhusu
Sio Black people tu tunashadadia haya Mambo hata Nchi nyingi za Wazungu wanaadmire Marekani na Israel... Sayansi ndipo ilipolala huko... na huwezi wakwepa kwa naman yeyote ile hata ukiboycot... Mwafrica hutoweza kwani mitaara yao wametupatia ili tusome na kuwafanyia kazi... ndio maana bado mnajifunza Bursen barner jana leo na kesho... Wao kuna vitu hawasomi tena kwani vimeshakuwa fixed mifano wakiwapa quote ya kutengeneza Barabara mnasema hatuwezi ni ghari sana pesa hizo tunaweza tengeneza barabara za nchi nzima mnaenda kwa wachina wanawatengenezea three years mnaomba tena pesa barabara zimekufa.... Nenda Berlin Concrete road tokea enzi za Hitler hadi leo hawana bajeti za barabara... Wao wanajua nini wanafanya... tukusema tufanye yetu itatake 500 years baada ya kuignore vya kwao... maana kukosa ndio kunaleta maarifa
 
H
nonesense

Mkuu huyu jamaa ni mjivuni tu, na ukisoma majibu jibu yake anaonekana anasumbuliwa na complexes za aina fulani, si hilo tu hata uelewa wake kuhusu masuala ya aviation ni dismal kabisa ndio maana anafoka foka ovyo na kuchukulia members wengine ni wajinga.
 
Huu ndo ukweli.
 
Hapa Boeing watakuwa wameumia sanaaaaa. Order ya ndege 114 si mchezo ni bulungutu hasa hata kabla ya kuweka spare parts na regular services. Ajira nyingi sana hizi kwa miaka mingi tu. Weye MKARE! Kwenye business World you're up there.
Marekani ni kama maji usipoyaoga basi utayanywa

Hao AirBus wenyewe bila ruhusa ya US wasingeuza hzo ndege kWa Iran
 
Iran haikusadiwa na US kwenye vita , Iran ikisaidiwa na mrusi na Iraq na US mkuu
 
Vikundi gani vya kigaidi ? Huo ugaidi Kwa mtazamo wa Nani ? Maana hata Iran inawaona US ni magaidi ? Hizo propaganda mkuu , baadhi ya hivyo vikundi wameviunda wao US
 
Mkuu uko vizuri
 
Vikundi gani vya kigaidi ? Huo ugaidi Kwa mtazamo wa Nani ? Maana hata Iran inawaona US ni magaidi ? Hizo propaganda mkuu , baadhi ya hivyo vikundi wameviunda wao US
Mkuu siwezi kukuita Mpumbavu maybe ni ujinga tu so nikikujibu pengine utaelewa au kama una upumbavu itakuwa ni kipaji chako... Hii hoja ina almost two years tokea 2016 leo ni 2019 so kuhusu Iran Vikundi inavyo visaidia vya kigaidi ni Hamas, Ismalim Jihad na Hezbollah ambavyo vinatambuliwa na nchi nyingi Duniani kuwa mlengo wao ni ugaidi.. so JF watu wanavyoandika wengi hatubahatishi kama unavyochukulia wewe masikhara masikhara tu au kusumbua kwa ubishi usio na umuhimu wowote ule... just like Mende or Panya kujipitisha Sebureni. Vikundi vingine au Jeshi lake lenyewe la Kimapinduzi lishashiriki issue za Kigaidi nchi kadhaa Duniani ikiwemo Argentina... na Wao walishatangaza kuwa wana nia ya kuifuta Israel katika ramani kwa njia yeyote ikiwepo kufadhiri vikundi vya Jihad na hilo lipo wazi sasa nakupa ufafanuzi ili uelewe yawezekana unasoma news lakini huelewi... ukitaka fact utapewa ila sibahatishi maneno yangu... maana wadhani jf ni uwanja wa Midhaha...

Issue ya Iran kusema Inawatambua baadhi ya wanajeshi wa Marekani katika eneo fulani kuwa ni magaidi ni uamuzi wao tu na sababu zao binafsi na hilo limekuja mwaka huu 2019 tena kwa kujibu mapigo kama tit for tat kwa sababu ya jeshi lao kuambiwa ni magaidi na si vinginevyo so Dunia Nzima imeona ni Kichekesho so kupelekea kutoungwa Mkono na nchi yeyote ikiwepo Tanzania.. so kama wewe umekubaliana na Marekani ni maamuzi yako kama ushabiki au umepima...

Next time aribu kuendana na majibu ya wakati uliopo... you have to move forward in your Life and not Moving Backward... Unalemaza Ubongo wako... THINK BEFORE YOU DO.
 
Vikundi gani vya kigaidi ? Huo ugaidi Kwa mtazamo wa Nani ? Maana hata Iran inawaona US ni magaidi ? Hizo propaganda mkuu , baadhi ya hivyo vikundi wameviunda wao US
These are mere Islamist Propaganda to hide the true jihadist objectives. If the US is behind the creation of the jihadist terrorist groups why don't they use the Christians to execute those terror missions? Why use the Muslims??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…