- Thread starter
- #21
Upo sahihi mkuu lakini pia Marekani hathubutu kuishambulia Iran sababu Iran itaondosha kabisa uwepo wa Marekani Mashariki ya Kati.Iran iko vizuri lakini haijafikia level ya kupambana na Marekani kama ilivyo Korea Kaskazini
Kingine ni kwamba inaweza kubadili historia ya dunia kabisa!