Iran Kisha Fanya Majaribio ya Nuclear

Iran Kisha Fanya Majaribio ya Nuclear

Mzigo umekata pia launchers zao nyingi zimepigwa na huko majini hawana Ngalawa hata moja yakujitutumua.
Nyie kweli mna wasikiliza USA na Israel na propoganda zao hahaha sa kwa tarifa yenu target zote walizo kuwa wanapiga Israel na USA wakifikiria silaha kumbe ni mchoro special wamekuja kugundua bada ya kuzifatilia video za hizo target hakuna kinacho ruka kwenye hizo target zaidi ya kunguza silaha zao bure tena zenye thamani kubwa sana hapo ndio mjue vita ni akili.

View: https://youtu.be/98Qvse3wXrA?si=d20-NUfI7-en6Jbl
 
Waweze kumuua dikteta Ayatollah na wapambe wake wengine 49 halafu eti washindwe kujua makombora yalipo, mbona hii haiingii akilini..!!??🤷🤷🤷
 
Waajemi wa Buza poleni sana!
Kwamba hata hantambui kuwa hiyo clip ni AI....?!
Na kinachoongelewa hapo ingekuwa na ukweli ingemaanisha kuwa hiyo taarifa ni ya miaka ya nyuma, siyo sasa!
President Biden successor?!
 
Dogo tulizana Aliye kuwa kakataza Iran wasiwe na Nuclear USA na Israel walimua sasa Iran official Trump kakiri ana Nuclear. Iran ni Official Nuclear Power(Nchi ya 10 kuwa na Nuclear Duniani)

View: https://youtu.be/XJ1Dh23NOfA?si=Qviu8i6s2l9qMfSr

Afu we mvaa msalaba Israel aliwasaidia lini Tanzani huyo Muiran unaye mchukuia ndio anawapa Tanzania mikopo bila Riba(Faida)
 
Back
Top Bottom