Iran kazabuliwa kofi la uso yeye karudisha kwa kumsukuma tu Israel

Of the 331 missiles and drones launched by Iran at Israel:

- 185 out of 185 Kamikaze Drones were shot down

- 103 out of 110 Ballistic Missiles were shot down

- 36 out of 36 Cruise Missiles were shot down

- 7 Ballistic Missile impacts have been recorded on Israeli territory
Porojo tu hizo.
 
Yako wapi Mkuu

JUST IN: Israeli military releases video showing F-35 fighter jet landing at Nevatim base after Iran claimed to have caused significant damage to it.
View: https://twitter.com/spectatorindex/status/1779386924815561102?t=tCqdNwJNWymquPLn_jLRaw&s=19

Na wewe unaamini kabisakabisa.

Sishangai ni kwanini babu zetu walipewa gololi na wao kutoa Almas na dhahabu. KIUFUPI SISI NI MAJINGA NA YENYE KUDANGANYIKA KIJINGA SANA.

Hata kama tuna mapenzi na Israel au Iran lakini tusiwe majinga kiasi hiki. Unachokisikia kwa Iran kiamini nusu na unachokisikia kwa West kiamini robo.
 
Attachments

  • FB_IMG_1713079095329.jpg
    FB_IMG_1713079095329.jpg
    28.2 KB · Views: 1
Matthew 24:6-8 King James Version (KJV)

For nation shall rise against nation, and kingdom against kingdom: and there shall be famines, and pestilences, and earthquakes, in divers places. All these are the beginning of sorrows.
 
Of the 331 missiles and drones launched by Iran at Israel:

- 185 out of 185 Kamikaze Drones were shot down

- 103 out of 110 Ballistic Missiles were shot down

- 36 out of 36 Cruise Missiles were shot down

- 7 Ballistic Missile impacts have been recorded on Israeli territory
Na hakuna myahudi aliyekufa hata mmoya.....
Ila kule damascus wairan 7 tena seniors wa jeshi la magaidi waliwahishwa kuzimu
 
Matthew 24:6-8 King James Version (KJV)

For nation shall rise against nation, and kingdom against kingdom: and there shall be famines, and pestilences, and earthquakes, in divers places. All these are the beginning of sorrows.
Church rupture is about to happen......
 
Atleast Iran imetimiza Ahadi yake hata kama matokeo ni madogo lakini tumeona.

Sasa kete inayosubiriwa ni Israel asukume tuone mchezo utachezwaje
Israeli alisukuma kete ya kwanza na kuua makamanda zaidi ya 7. Wawili ni high military rank official,
Iran ndio amejibu sasa hivi.
Sidhani kama israeli itakaa kimya
 
Kinachoitwa shambulizi la Iran kwa Israel jana ni kelele kubwa tu za majidai na usumbufu ambazo hazikuleta chochote cha maana. Unashambulia nchi iliyo umbali wa KM 2300 kwa kutuma drones ambazo zinakatiza anga za nchi nyingine kadhaa kwa masaa na karibia zote kuishia kutunguliwa au kuanguka njiani kwa kuishiwa chaji!

Kwa alichokifanya Israel cha kushambulia ubalozi na kuua makamanda wa Iran kwenye ugomvi ni sawa na umepigwa kofi la usoni na ukaishia kumsukuma au kumkunja tu shati aliyekuzabua kofi. Aliyesukumwa ndio ataamua huu ugomvi utaendeleaje au utaishaje. Ngoja tusubiri majibu yake.
Sisi tunataka ahadi ya Israel hachokozwi kwake lazima Ajibu.

Tunataka Israel ajibu uchokozi huo tuone matokeo gake..

Hayo mengine ni mipasho tu, Iran kaamua kuanzisha, sasa huyo power ajibu kuonesha uwezo wake.
 
Kinachoitwa shambulizi la Iran kwa Israel jana ni kelele kubwa tu za majidai na usumbufu ambazo hazikuleta chochote cha maana. Unashambulia nchi iliyo umbali wa KM 2300 kwa kutuma drones ambazo zinakatiza anga za nchi nyingine kadhaa kwa masaa na karibia zote kuishia kutunguliwa au kuanguka njiani kwa kuishiwa chaji!

Kwa alichokifanya Israel cha kushambulia ubalozi na kuua makamanda wa Iran kwenye ugomvi ni sawa na umepigwa kofi la usoni na ukaishia kumsukuma au kumkunja tu shati aliyekuzabua kofi. Aliyesukumwa ndio ataamua huu ugomvi utaendeleaje au utaishaje. Ngoja tusubiri majibu yake.
kwani irankupiga ubalozi wa israel ulio kwenye nchi nyingine anashindwa!!!hayo mashambulizi yalikuwa yanaenda moja kwa moja israel,hapo manake vita na ianze mura,ENDELEA KUWASIFIA MASHOGA UJINGA UMEJIANDAA NA NJAA YA 3WW HUKO BUZA???SHAURI YAKO
 
Hii match unarudiwa kwa ustadi mkubwa pia na Israel anawaza jinsi yakuanza USA anaona hii vita siyo ya kwenda kizembe pale kuna Nuce war head aipigwi na air difence systems
 
Back
Top Bottom