Iran just outplayed the United States again

Iran just outplayed the United States again

TUJITEGEMEE mbona unawezo mkubwa sana wa kufikiri kuamini katika hizi conspiracies za deep state, Trump did all he did cause he has to fight impeachment na uchaguzi mkuu. Power ya kuamua tofauti anayo kumbuka alipojisifia kuwa aliahirisha shambulizi zidi ya Iran dakika kumi kabla ya kufanyika baada ya kuuliza watu wangapi watakufa alipoambuwa ni hamsini aka call off the mission iweje leo amefanya

Sent using Jamii Forums mobile app
Unatuharibia great thinking inayoendelea. Kina Malcom Lumumba wameongea mambo mazito. Waelewe tafadhali. Wametoa na vitabu vya kusoma.
 
Alifyatua makombora Iraq kwa siku nne mfululizo mwaka 1998 kupitia Operation Desert Fox. Mwaka 1999 akiwa na NATO akavamia Yugoslavia bila idhini ya Umoja wa Mataifa: Tena kipindi Impeachment Proceedings zinaendelea dhidi yake.
Hiyo kufyatua makombora 1998 mbona hata trump alifanya Syria

Inshort Clinton akufanya full scale war kama ile ya bush, Bali ni operation ndogo ndogo
 
Somalia ni 91 kipindi cha bush senior, Balkan war kulikua na ethics cleansing this ya uislamu huwez sema alivamia


USA/NATO walibomb Yugoslavia chini ya Raisi Clinton, kuna kipi cha kujadili hapo? Vita vyote vina sababu hata Irak watakwambia weapons of mass desstruction, Libya watakwambia Udikteta, Afghanstan watakwambia drugs, Syria watakwambia Isis kila mahali wana sababu, lkn sababu hasa ya USA/NATO kuishambulia nchi nyingine siyo ile wanayokwambia kwenye mainstream media.
 
USA/NATO walibomb Yugoslavia chini ya Raisi Clinton, kuna kipi cha kujadili hapo? Vita vyote vina sababu hata Irak watakwambia weapons of mass desstruction, Libya watakwambia Udikteta, Afghanstan watakwambia drugs, Syria watakwambia Isis kila mahali wana sababu, lkn sababu hasa ya USA/NATO kuishambulia nchi nyingine siyo ile wanayokwambia kwenye mainstream media.
Kwa hiyo ulitaka waache watu wauwane kama kuku serious
 
Kule Somalia ilikuwa ni ile vita ya Mogadishu mwaka 1993: Kumbukizi yake kubwa ni kwamba walitungua chombo cha Marekani "Black Hawk".
Kuna kitu ambacho wengi hamuelewi hata sasa hivi hakuna namna utagusa maslahi ya marekani alafu wakakuacha iwe Kwa vikwazo au Kwa vita

Trump mbona ali order operation dhid ya kambi za kijeshi za Assad baada ya kutumia chemical attack dhid ya watu wake
 
Sababu yangu ya kusema D.Trump hataki vita ni base yake iliyomchagua na ambayo inampa inampa sapoti mpaka sasa hivi haitaki vita na aliwaahidi kutokuiingiza USA in foreign wars, na mpaka sasa hivi karibia miaka 4 Trump hajaanzisha Vita wala kuivamia nchi yoyote ile hiyo ni record kwa standard ya Maraisi wa USA kwani wote walivamia nchi nyingine isipokuwa Trump hata hili la Irani hakuna vita hapo, kwani Trump atapoteza sana sapoti yake akiingiza USA vitani, Trump siyo war monger kama Obumer, Bush, Clintons & Co.

Hivi mkuu, unafahamu ni nani khasa wamwezesha D Trump kuwa raisi pamoja na kwamba ana pesa zake?
 
Hivi mkuu, unafahamu ni nani khasa wamwezesha D Trump kuwa raisi pamoja na kwamba ana pesa zake?


Sina uhakika sana lkn nafikiri ni tea party movement hasa Wazungu conservative ambao hawakupendezwa na jinsi USA ilivyokuwa inaenda kwenye mambo mengi tu kuanzia trade imbalance na China, immigation, mkataba wa NAFTA kati ya USA, Mexico na Kanada ambapo viwanda vingi sana USA vilifungwa, mambo ya Paris climate agreement ambapo ilitaka kuzuia USA wasichimbe coal, Mafuta na Gesi, Vita visivyoisha ambavyo vinaongeza gharama kubwa kwa wananchi wa USA, haya ndiyo moja ya mambo kwa uelewa wangu yaliyomuingiza D.Trump.

Kwa kifupi ilikuwa ni protest vote.
 
Mimi maoni yangu ni tofuaiti kidogo.

Mwaka 2018 gazeti la Kuwait la Al Jarida lilitaarifu juu ya Marekani kuizuia Israel kumuua jenerali Solemani na kuwatonya Iran ambao walizuia jaribio hilo.

Solemani alikuwa tayari yuko nyavuni mjini Damascus nchini Syria ndipo Iran wakamwokoa.

Kuna makubaliano kati ya nchi hizi mbili (Marekani na Israel) juu ya namna ya kumdhibiti Solamani kwani walimchukulia kuwa ni mtu hatari katika eneo hilo la Ghuba ya uajemi.

Hivyo huiyo ni miaka miwili imepita lakini ni lolote lingeweza kufikiwa kwa kuangalia ile kitu hitwa kwa kijeshi military tactical advantage kumuondoa Solemani ili kuwafungua Iran kiuvamizi.

Ila kuwa na uhakika kamili ni nani khasa aliemuua Solemani itakuwa kuwa ni "unresolved mystery".
 
Mimi maoni yangu ni tofuaiti kidogo.

Mwaka 2018 gazeti la Kuwait la Al Jarida lilitaarifu juu ya Marekani kuizuia Israel kumuua jenerali Solemani na kuwatonya Iran ambao walizuia jaribio hilo.

Solemani alikuwa tayari yuko nyavuni mjini Damascus nchini Syria ndipo Iran wakamwokoa.

Kuna makubaliano kati ya nchi hizi mbili (Marekani na Israel) juu ya namna ya kumdhibiti Solamani kwani walimchukulia kuwa ni mtu hatari katika eneo hilo la Ghuba ya uajemi.

Hivyo huiyo ni miaka miwili imepita lakini ni lolote lingeweza kufikiwa kwa kuangalia ile kitu hitwa kwa kijeshi military tactical advantage kumuondoa Solemani ili kuwafungua Iran kiuvamizi.

Ila kuwa na uhakika kamili ni nani khasa aliemuua Solemani itakuwa kuwa ni "unresolved mystery".
Jamaa amefanikiwa kuwavuruga sana kwa kutumia hiyo 'axis of resistance' aliyounda kuanzia Lebanon mpaka huko Yemen ila cha kujiuliza

Ni halali kumuua ofisa wa ngazi za juu wa nchi nyingine ndani ya nchi ya tatu ilihali hata ushahidi wa alichokuwa amepanga kukifanya haujitoshelezi na tena alikuwa kwenye ziara ya kidiplomasia tu?

Hizi sheria za kimataifa hazina maana tena nyakati hizi.
 
By Max Boot: Columnist Covering National Security.

So it was all the more shocking to read that hundreds of supporters of Kataib Hezbollah, an Iranian-backed militia, broke into the compound on Tuesday and ransacked the reception areas familiar to all visitors. To anyone of my generation (I was born in 1969), it instantly conjured up terrible memories of the Iranian hostage crisis of 1979 to 1981.

The protesters even shouted the same slogan — “Death to America” — as the Iranian hostage-takers. Mercifully, Tuesday’s embassy invasion ended without any Americans being harmed after Iraqi security forces belatedly arrived to restore order, but the demonstrators remain just outside the embassy walls.

This is another reminder that in the long-running conflict between the United States of America and the Islamic Republic of Iran, we have repeatedly been humbled and hurt by a smaller but more determined and ruthless adversary. Indeed, for the past 41 years, Iran has put on a master class in irregular warfare, leaving the United States flummoxed about how to respond.

In the 1980s, Iranian-backed forces took dozens of Americans hostage in Lebanon and demolished both the U.S. Embassy and the U.S. Marine barracks in Beirut with truck bombs that killed hundreds. President Ronald Reagan was so desperate to free the hostages that he was willing to sell missiles to Iran — a backroom maneuver that blew up into the biggest scandal of the Reagan administration after the proceeds were secretly diverted to the Nicaraguan Contras.

In 1987, Reagan sent U.S. naval forces to prevent Iran from closing the Persian Gulf as part of its war against Iraq. One U.S. Navy frigate was nearly sunk by an Iraqi missile and another by an Iranian mine, but U.S. forces inflicted heavy damages on Iran’s Revolutionary Guard Navy and accidentally shot down an Iranian passenger airliner.

This was the first and last time that U.S. and Iranian forces engaged in direct battle. Iran prefers to do most of its damage via proxies. Following the U.S. invasion of Iraq in 2003, Iranian-sponsored Shiite militias killed hundreds of U.S. service members. President George W. Bush condemned Iran as part of the “Axis of Evil,” but wisely decided against escalating hostilities. The United States was mired in enough wars without starting another one against a nation of 81 million people.

The Iranians took advantage of Bush’s ill-advised decision to overthrow their nemesis Saddam Hussein to extend Iranian influence across Iraq under the very noses of American occupiers. Iran was already the dominant player in Lebanon. In the past two decades, it has become the dominant player in Iraq, Syria, and Yemen, too. The new Persian Empire stretches from Tehran to Beirut.

The only effective U.S. response to the Iranian threat since Reagan’s tanker war was President Barack Obama’s decision to conclude a deal with Iran in 2015 that would freeze its nuclear program. The deal did nothing to curb Iran’s regional power play and may have even fueled it by lifting economic sanctions — which is why I and others opposed it at the time.

But it did at least stop Iran’s development of nuclear weapons. President Trump blundered by exiting the nuclear deal in 2018 and imposing economic sanctions on Iran in 2019, even though it was complying with the agreement

Pushed into a corner, Iran and its proxies have lashed out by allegedly attacking oil tankers in the Persian Gulf, shooting down a U.S. drone, hitting a major Saudi oil facility with cruise missiles — and now rocketing a compound near Kirkuk, Iraq.

The latter attack, which killed an American contractor and injured four U.S. troops on Friday, led Trump to retaliate with airstrikes across Iraq and Syria that killed 25 members of Kataib Hezbollah, the Iranian-backed militia blamed for the rocket attack, and sparked anti-American outrage. The embassy invasion on Tuesday was Iran’s riposte to make clear that it will not bow to American pressure. Your move, Mr. Trump

The United States has only two ways out of this escalating crisis: fight or negotiate. A war with Iran, as I have previously argued, could be the mother of all quagmires; it could easily spin out of control with tit-for-tat responses of the kind we have seen in recent days. Better to negotiate. That would mean trying to rebuild a tougher nuclear deal in return for the lifting of U.S. sanctions.

But Trump shows little interest in either seriously negotiating or fighting. He has waged economic warfare on Iran while doing nothing to curb its regional aggression; indeed, by withdrawing U.S. troops from part of northern Syria, he has allowed an extension of Iranian influence. So we are left with the worst of all possible worlds: Iran is once again waging a low-intensity conflict, and America once again has no effective response.


Source: The Washington Post



Should we reply this post in English or Kiswanglish or Kiswahili??---🤣
 
Back
Top Bottom