Iran inder INTENSE cyber-attack. ALL critical infrastructure affected

Hii inaitwa Electromagnetic warfare, ni vita vya kuhujumu miundombinu ya mawasiliano ya adui.

Nadhani jibu la haraka wameshalipata na kulifanyia kazi.

Lakini muda ambao mawasiliano ya kikompyuta yanakuwa collapsed nchi nzima,tayari nyaraka muhimu zinakuwa zishaporwa na mnakuwa mmefanywa wachumba, dharau sana hii!
 
Story tu, hakuna hiyo habari
 
Mpaka hapo myahudi kaishapararaiz nyuklia za Iran, wameishajam kila kitu.
Tena wataalam wanavoangaika kuweka sawa mifumo ukute sasa wanadownload vilipuzi tu.

Yajayo ni makubwa
Hili limewahi kutokea kabla na hii sio mara ya kwanza.
Hutokea lakini Iran wanaliweka sawa na mambo yanaenda mbele.
Hao Iran sio Syria au Lebanon.
Ni taifa lenye teknolojia kubwa tu ya kushindana na Israel.
 
Hebu nitanabahishe ni kwa nini USAA anaingilia kati?
Ulinzi wa Israel hapo ME upo chini ya USA.
Chochote kitakachotokea kuhusu Israel basi USA itawajibika.
Iran imeshaweka vitisho vikubwa iwapo kama Israel atajibu shambulio,na wa kuubeba msalaba ni USA and allies.
 
Maana jamaa haweza kutupa bomu , anatoa mwanya ili aonekane kalipa πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ Tunataka arushebomu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…