vinu vyao wanasema wameviweka underground kuogopa kushambuliwa. hata misiles nyingi sana iran zipo kwenye mahandaki. nikama unaona kuna mji hapa juu ila chini ya ardhi wameweka mji wao. kama haujui, hata idea za underground tunnels za gaza na lebanon muasisi ni Iran.Hv unaweza kutengeneza kinu cha nuclear kisijulikane?vinu vinajulikana vilipo Hila ukivishambulia direct missiles from tel Aviv hayo Majibu mtakayopewa mara elf 1 ya shambulio la October 1
Ooooo.NAtaka vita hacking haina madhara yoyote.
T14 ArmataNAtaka vita hacking haina madhara yoyote.
Na ww umejiona umeandika kitu cha maana sana ..kwa hiyo wakiahajua sehem nyeti za makombora ndo nin wew unafikiri hawafaham sehem hizo mhim .kupajua ni jambo moja na kuzifikia na kuweza kuziharabu ni jambo la piliWakati najiunga Jf miaka kadhaa nyuma nilikuta watu akili zinachemka humu, kulikua na balaa ilifikia hatua hata darasa la saba aliyepo jf alipata masters yake humu humu ,..
Lakini hii jf ya sasa kwa jicho la tatu ila VICHWA MCHUNGA wengi saanaaa hivi mtu anaona kwa mfano ingawa sijajua ni kweli au laa " Israel yakudukua mifumo muhimu ya kiusalama Iran" kichwa mchunga anakuja mbio kukoment " yaani kudukua taarifa za siri ndo kulipa kishaaasi warushe mabomu waone " yani mtu anashindws kufikri kidogo tu kuwa mtu akishapata taarifa zako na mipango yako na kujua udhaifu na uimara wa kila sehemu umeshaisha wao wanakimbilia kombora
Mfano; katika moja ya taarifa iliyoibwa ikawa ni sehemu zote zenye makombora hatari je zikiwahiws hizo kuna jambo hapo?
Au ni ushabiki na udini unawapunguzia watu uwezo wa kufikiri
Mimi nimeisoma Hindustan Times. Kosa langu ni lipi?Acha uhuni wewe,kwa kuwa taarifa huzitaki,unainanga.Link ipo mwanzoni tu hapo in blue.
Maagizo ya Quran'...na hakika kila ahadi itaulizwa(ikiwa ilitekelezwa)'Uzuri Iran hana ahadi feki akikuahidi anatekeleza bila kuchelewa.
Hawa Mazayuni midomo mirefu lakini vitendo sifuri. Wametwangwa mara mbili bila majibu hadi leo wamebaki na propaganda za cyber attack kuwadanganya manyumbu waliyozoea kuyadanganya.
I think lengo ni kuchezea mifumo yao ya ulinzi. Let's keep on waitingMpaka hapo taarifa mhimu zimeshachukuliwa
🤮🤮🤮🤮🤮🤮🤮🤮🤮🤮🤮Na ww umejiona umeandika kitu cha maana sana ..kwa hiyo wakiahajua sehem nyeti za makombora ndo nin wew unafikiri hawafaham sehem hizo mhim .kupajua ni jambo moja na kuzifikia na kuweza kuziharabu ni jambo la pili
Nyie ndo wale wale niliokua nawatolea mfano hebu kaongelee mambo ya Simba na Yanga ndio unachokiweza hikoNa ww umejiona umeandika kitu cha maana sana ..kwa hiyo wakiahajua sehem nyeti za makombora ndo nin wew unafikiri hawafaham sehem hizo mhim .kupajua ni jambo moja na kuzifikia na kuweza kuziharabu ni jambo la pili
Madai hayo si mara ya kwanzaI think lengo ni kuchezea mifumo yao ya ulinzi. Let's keep on waiting
Hebu nitanabahishe ni kwa nini USAA anaingilia kati?Unajua kwanini USA anaingilia kati mkuu!?
Hata kupigana pia sio mara ya kwanzaMadai hayo si mara ya kwanza
Wahusika ni Unit 8200 na si Mossad
Acha kupanic kwa vitu vidogo hivyo jibu ulichoulizwa kama huna kaa kwa kutuliaNyie ndo wale wale niliokua nawatolea mfano hebu kaongelee mambo ya Simba na Yanga ndio unachokiweza hiko
Maana yake licha ya israel na marekani kufanya shambulio la kimtandao huko nyuma dhidi ya mradi wa nyuklia wa Iran,lakini bado juzi Iran kashusha vitu tel aviv na mradi wa nyuklia unasongaHata kupigana pia sio mara ya kwanza
Acha michambo mtoto wa kiume kudandia dandia mambo kunawaponza sana vijanaAcha kupanic kwa vitu vidogo hivyo jibu ulichoulizwa kama huna kaa kwa kutulia
Unadandia dandia tu kujibu watu bila adabu na wewe uonekane upo humu we kama haikukufaa ungetuliza mafuta hayo wewe kama ni mwanaume jitafakari sana sana sio dalili nzuri hiiAcha kupanic kwa vitu vidogo hivyo jibu ulichoulizwa kama huna kaa kwa kutulia
Mpaka hapo myahudi kaishapararaiz nyuklia za Iran, wameishajam kila kitu.yap, wanachofanya wanaingia, wakitoka washajua hadi location ya vinu vyako, locations za bunker ulipojificha wewe ayatola na kila kitu. kitakachofuata ni kukupiga ganzi ili wanaporuka hewani ushindwe kuwadungua kirahisi.
Hii ndo jibu la swali uliloulizwa sioAcha michambo mtoto wa kiume kudandia dandia mambo kunawaponza sana vijana
We unaonajeHii ndo jibu la swali uliloulizwa sio