gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,270
- 17,721
Muulize yesu ndiyo anayajua vizuri, aliyatoa sana kipindi chake,na wengine wanaendelea kuyatoa kanisaniMAJINI HUWA HAYA SAIDII MKIWA VITANI?
Wanatukuza mapepo, lakini sijui huwa yanawasaidiaje kuwalinda kwenye majanga kama haya.
Vaeni vipedo na kobaz twende vitani.
Majini yaingilie katiMuulize yesu ndiyo anayajua vizuri, aliyatoa sana kipindi chake,na wengine wanaendelea kuyatoa kanisani
Aliyotoa yesu yako kwenye kitimoto.Muulize yesu ndiyo anayajua vizuri, aliyatoa sana kipindi chake,na wengine wanaendelea kuyatoa kanisani
Mkuu,waache longo longo warushe vimondo hapo Tehran kama wanaweza.
Haya mambo ya kuhack ni uoga uliopitiliza!
Unaelewa unachozungumza? Unaijua timu ya kim wa North Korea wale maprofesional ambao Marekani wameingiia na kutoka na nyaraka muhimu mpaka us wametangaza dau? Wanashirikiana na warusUrusi kwa teknolojia ni underdog tu kwa wayhudi, yeye labda ni kwa wingi wa vifaru chakavu tu.
WangesemaHili ndio shambulio la kujibu go mapigo?
Unajua kwanini USA anaingilia kati mkuu!?Kama ni kweli MOSAD amefanya yake, basi yajayo yanafurahisha zaidi kwani Israel iliapa kulipiza kisasi kwa ukali wa kiwango cha juu na kitakachoishangaza dunia. Hadi hapo ujue data nyeti kwenye maeneo yaliyoathirika zimeshachukuliwa na Mwamba. Kilichobaki wanasubiri kibali cha Neta "OK au Wait a bit "
Hakika Jews ni watu hatari na pengine kiwango cha ulipaji kisasi kilichokusudiwa kwa mujibu wa kiapo kilikuwa kikubwa mno kiasi kwamba ilibidi Marekani aingilie kati kupunguza makali yaliyokusudiwa. Don't ever mess-up with the Jews.They will kick or chop ur balls.
yap, wanachofanya wanaingia, wakitoka washajua hadi location ya vinu vyako, locations za bunker ulipojificha wewe ayatola na kila kitu. kitakachofuata ni kukupiga ganzi ili wanaporuka hewani ushindwe kuwadungua kirahisi.Mpaka hapo taarifa mhimu zimeshachukuliwa
Au watalipiza na drone za kipaimara kama kipindi kilewaache longo longo warushe vimondo hapo Tehran kama wanaweza.
Haya mambo ya kuhack ni uoga uliopitiliza!
Hv unaweza kutengeneza kinu cha nuclear kisijulikane?vinu vinajulikana vilipo Hila ukivishambulia direct missiles from tel Aviv hayo Majibu mtakayopewa mara elf 1 ya shambulio la October 1yap, wanachofanya wanaingia, wakitoka washajua hadi location ya vinu vyako, locations za bunker ulipojificha wewe ayatola na kila kitu. kitakachofuata ni kukupiga ganzi ili wanaporuka hewani ushindwe kuwadungua kirahisi.
Ndugu!Sisi Iran tunatafuta sababu ya kuifuta Israel kwenye ramani ya dunia kwahiyo tunasubiri watushambulie ili tupate sababu, hizo propaganda za Cyber attack ni propaganda tu za kuionyesha dunia kuwa nao kuna kitu wamejibu ila ni uongo mtupu.
Sisi tunasubiri Netanyahu ajichanganye ili Israel yote tuifanye kama tulivyoifanya Nevatim base kwenye tukio la juzi
Operation true promise II
Mbona hawakutumia teknolojia kuzuia makombora yasitue kwenye ardhi yao?Vimondo wameachiwa akina ayotollah warushe mia tatu madhara 0.01
Huku hasara ya mabillion
Waisrael wanafikiria mbele km maelfu
Wanaweza kujam hiyo Mifumo ya vimondo na nuclear ijilipukie tu huko Iran
Kuna vitu viwili hapo kwenye hizo link zilizo tolewaWewe unaumwa
Uzuri Iran hana ahadi feki akikuahidi anatekeleza bila kuchelewa.Sisi Iran tunatafuta sababu ya kuifuta Israel kwenye ramani ya dunia kwahiyo tunasubiri watushambulie ili tupate sababu, hizo propaganda za Cyber attack ni propaganda tu za kuionyesha dunia kuwa nao kuna kitu wamejibu ila ni uongo mtupu.
Sisi tunasubiri Netanyahu ajichanganye ili Israel yote tuifanye kama tulivyoifanya Nevatim base kwenye tukio la juzi
Operation true promise II
Mkuu Mazayuni weusi wa Nanyumbu huwaelezi kitu kuhusu taifa la kishog,a wao walichoaminishwa hawataki kabisa kuwa free minded ili kufikiri nje ya boksi.Kuna vitu viwili hapo kwenye hizo link zilizo tolewa
1. Reports claiming hapa hata hajulikani huyo anae claim ni nani?
2. Has not been an official confirmation hapa sio Israel wala Iran alizungumzia hili jambo
HITIMISHO: sasa sijui mgonjwa ni nani ,Mimi ninae subiri taarifa rasmi au wewe unae amini kwenye tetesi ?