Na kweli Mwamba alisema ataishangaza dunia. Kobaz et al walitegemea kurushiwa vimondo vitakavyotua Tehran kumbe Mwamba kaja kivingine. Tusubiri yajayo kwani mpaka sasa dunia haijashangaa bado.waache longo longo warushe vimondo hapo Tehran kama wanaweza.
Haya mambo ya kuhack ni uoga uliopitiliza!
Unajua hasara ya Siri muhimu kichukuliwa na adui hatakama atarekwbisha ??Mnatamani sana hilo litokee kuna Mrusi pale hizo minor issues ana solve within minutes tu
Hao unit 8200 Wana maslahi gani nuclear ya Iran ??Mkuu, ina maana ingelikuwa ni MOSAD habari ingekuwa ni nyingine au vp.
Mkuu hizi ni tetesi tu hakuna ukweli kwasasa ndio maana ukisoma humo ndani , utaona hakuna aliethibitisha habari hiyo sio Iran wala Israel
Cyber attack targets Iran's nuclear infrastructure, communication network: Report
There are reports claiming that Iran's nuclear infrastructure has come under a massive cyber attack amid the ongoing conflict with Israel. The country's Legislature, Judiciary and the Executive have also been subjected to a cyber attack.www.indiatoday.in
Cyber Assault on Iran: Is This Israel’s Digital Blitzkrieg?
The scale and precision of the attack suggest it wasn’t carried out by a disorganised group of hackers, but by a well-resourced, highly sophisticated entity—potentially a nation-state with a vested interest in destabilising Iran’s infrastructurewww.news18.com
Hizi ni tetesi tu hakuna cha kujadili hapoUnajua hasara ya Siri muhimu kichukuliwa na adui hatakama atarekwbisha ??
Sio kwenye habari ambazo hazina uthibitisho sasa
Suala sio mazingira vyanzo vilivyo tolewa humu havina uthibitisho zaidi ya kupiga ramliMazingira yanaonyesha ni MOSAD mkuu.
Nimeangalia vyanzo lakini sio Israel wala Iran aliethibitisha juu ya hili, inabaki kuwa tetesi kwasasaAngalia mwanzoni tu hapo utaiona.It is in blue.
Vimondo wameachiwa akina ayotollah warushe mia tatu madhara 0.01waache longo longo warushe vimondo hapo Tehran kama wanaweza.
Haya mambo ya kuhack ni uoga uliopitiliza!
This is undoubtedly the work of MOSAD, these guys are not afraid of anything? what kind of people are these? does it mean they are determined to attack Iran? In this way, all units that receive cyber attacks, become the number one target for the IDF
Time will tell
JEWS ni watu hatari na hawana hofu yoyote
Hilo ndilo lilikuwa swali langu kwamba kwanini jamaa niliyemjibu anadhani mhusika ni Unit 8200 na sio MOSAD?Hao unit 8200 Wana maslahi gani nuclear ya Iran ??
Urusi kwa teknolojia ni underdog tu kwa wayhudi, yeye labda ni kwa wingi wa vifaru chakavu tu.Mnatamani sana hilo litokee kuna Mrusi pale hizo minor issues ana solve within minutes tu
Aminia mkuuSio kwenye habari ambazo hazina uthibitisho sasa
Usisubiri Israel athibitishe hiliNimeangalia vyanzo lakini sio Israel wala Iran aliethibitisha juu ya hili, inabaki kuwa tetesi kwasasa
sasa unataka tuamini habari za wahindi hizo bila uthibitisho ?dunia ya sasa kuna uzushi mwingi kuwa makiniUsisubiri Israel athibitishe hili
Na pengine wanaweza kukuna pia
Huku akiwaacha mkiugulia maumivu
Haya mambo ya kujitangaza Ayatollah ndo anafanya
Yule Raisi wao walificha ficha MWISHO wakakiri wenyewe Mosaad ilihusika Ila hawakuacha ushahidi wowote
Hi ndio habari walikusudia kumbe ku attack Iran 😄 nilidhani watapeleka F35 au F15 na F16 jana nimekesha pale katavi mpaa mikasikia simba kwa mbali wanaunguruma. Nikajua leo nyau atatuonyesha ubabe wake kwa iran, sababu natake akosee step akaguse iran ili tuone Israel inavyo potezwa pale Middle East.waache longo longo warushe vimondo hapo Tehran kama wanaweza.
Haya mambo ya kuhack ni uoga uliopitiliza!
We jamaa bana!!.. hahahahaUrusi kwa teknolojia ni underdog tu kwa wayhudi, yeye labda ni kwa wingi wa vifaru chakavu tu.