Iran inajiandaa kuitwanga Israel

Iran inajiandaa kuitwanga Israel

Iran ni muajemi sio muarabu.
Pia ushahidi wa rais wao kuuliwa haukuthibitika usijiropokee
Lugha ya mwarabu ni lugha ya pi
Iran ni muajemi sio muarabu.
Pia ushahidi wa rais wao kuuliwa haukuthibitika usijiropokee hapa.

Kwa Kutumia neno waarabu nilimaanisha lugha ya picha mbayo wengi wanaelewa kwa urahisi, pili kuhusu kuthibithika nenda kajifunze kuhusu dhana ya ushahidi wa mazingira au Circumstancial evedence
 
Hivi Ebrahim Raisi, Yuko wapi, baada ya kudunguliwa hao watishia nuclea walifanya nini, kulialia tu
 
4c9568d48f9ff32m022_800C450.jpg
chata la hatari chata la kuogopwa
 
Persians wanajiandaa kuigeuza Israel kifusi.
Mzayuni anasubiriwa ajichanganye tu.
#TUTAKUWEPO

BREAKING:

🇮🇱🇮🇷 Iran is preparing to flatten Israel with thousands of ballistic missiles - New York Times reports

Iranian military and government officials have already met to discuss their response to a potential strike by Israel.

The plans are involving an immediate counterstrike on Israel utilizing thousands of long-range ballistic missiles.


View: https://x.com/Megatron_ron/status/1933026546584842422

Na Marekani yajiandaa kuisaidia Israel, tuone mshindi ni nani.
 
😂 😂 😂 Mbona hawataji Hezbolla wala Hamas?
Israel hajawahi kushinda vita yoyote ile na Hezbollah, vivyo hivyo Hezbollah haijawahi kushinda vita yake na Israel bali huwa wanaishia kusitisha mapigano tu na pande zote mbili kupata hasara.

Kuhusu Hamas toka kuanza harakati zake hawajawahi kushinda wala kushindwa vita na jeshi la Israel.

Ulitaka awataje kwa faida gani, wakati jeshi linayumbishwa na migambo kila siku?
 
Wakianza tu, utasikia Ayatollah Kafariki.

Kisha utasikia wanaanza kufa wanawake na watoto.

Wawaondoe wananwake na watoto, kabla vita haijaanza.
 
Back
Top Bottom