Iran inachokoza nyuki.

Nonda

JF-Expert Member
Nov 30, 2010
13,358
4,304
Merkel plane delayed after Iran refuses passage

"We have never experienced anything like this before," Mrs Merkel's spokesman, Steffen Seibert, said.
He said the incident was "unusual to say the least".

German Chancellor Angela Merkel's flight to India has been delayed after Iran's government refused it permission to fly over the country.

Mrs Merkel's plane was forced to circle over Turkey for about two hours as a result, the German government said.

Germany has summoned the Iranian ambassador to explain the incident.

BBC News - Merkel plane delayed after Iran refuses passage

Inawezekana kwa nchi zinazoendelea(masikini,ulimwengu wa tatu,dunia ya tatu) zote kuwapiga travel ban hawa viongozi wa West na US?
Isiwe One way tu! Wao kila siku vikwazo, vikwazo ..kuzionea nchi changa na viongozi wao!
 
wanachotaka Iran, mimi nanawa mikono, sanasana nitaburudika tu kuona show kama hii ya kaddafi, saddam, osama, mubarak, bel ali, na wenzao.
 
wanachotaka Iran, mimi nanawa mikono, sanasana nitaburudika tu kuona show kama hii ya kaddafi, saddam, osama, mubarak, bel ali, na wenzao.

Pharao show ya Iran inahitaji timing sana lkn kiukweli hata mimi naitamani
 
ukishazoe kujilipua....hata kama hakuna bomu utatafuta namna ya maangamizo yako mwenyewe,ukidhani utakufa na wengi kumbe unajifia mwenyewe..... NAWATAKIA MAPUMZIKO YA AMANI (R.I.P) IRAN NA NDUGUZO
 
"Inawezekana kwa nchi zinazoendelea(masikini,ulimwengu wa tatu,dunia ya tatu) zote kuwapiga travel ban hawa viongozi wa West na US?
Isiwe One way tu! Wao kila siku vikwazo, vikwazo ..kuzionea nchi changa na viongozi wao
!" (Nonda).

Ndugu Nonda, nchi changa ni zipi? Miaka hamsini lizee lizima bado linajiita mtoto mchanga!! Hapo ndipo tumekwamia - tunajivunia kuwa wachanga tunafikiri, kama watoto wachanga, tunasubiri kusaidiwa kama watoto!!!!!
 
Tunaitaji viongozi kama huyo,siyo kila kitu ni YES SIR.(kutingisha kibiriti ni muhimu)
 
Hawa Wajeremani walimpandisha ndege mkuu wao bila kupata kibali cha kuoverfly Iran? Huu si ndio uchokozi?
 
Huyu ni mwanaume alobaki pamoja na hugo chavez dunia yetu wote co yao tu au mushazoea misaada ya neti munaogopa kusema hata mkitiwa *****e wakaungane bac waje wampige au nato na us hawapo
hawatakubali makafiri na wayahudi mpaka mufate mila zao
 
"Inawezekana kwa nchi zinazoendelea(masikini,ulimwengu wa tatu,dunia ya tatu) zote kuwapiga travel ban hawa viongozi wa West na US?
Isiwe One way tu! Wao kila siku vikwazo, vikwazo ..kuzionea nchi changa na viongozi wao
!" (Nonda).

Ndugu Nonda, nchi changa ni zipi? Miaka hamsini lizee lizima bado linajiita mtoto mchanga!! Hapo ndipo tumekwamia - tunajivunia kuwa wachanga tunafikiri, kama watoto wachanga, tunasubiri kusaidiwa kama watoto!!!!!

Nchi changa inarudi kwenye highlight red ya mwanzo.
Mkuu huo si msamiati wangu, ni msamiati wa kisiasa kama kusema Tanzania ni nchi masikini.
 
Msiwe na mawazo ya kipuuzi, Iran ina haki ya kuzuia ndege yeyote isipite katika anga yake> Mbona wao wanazuia za Iran Baadhi ya watu hapa wanawaona Wazungu ni Miungu, huwezi kuwagusa.
 
Naamini mechi iliyobaki ni ya irani-ngoja gaddaf atulizwe then wamtafutie sababu iran waanze nae-
naamini itakuwa nzuri
 
huyu ni mwanaume alobaki pamoja na hugo chavez dunia yetu wote co yao tu au mushazoea misaada ya neti munaogopa kusema hata mkitiwa *****e wakaungane bac waje wampige au nato na us hawapo
hawatakubali makafiri na wayahudi mpaka mufate mila zao
hugo chavez hana kitu-ni propaganda zake tu kwenye media zinapoteza watu-yeye na nchi yake wana mkataba na marekani wa mafuta-tangu siku nyingi-10% ya mafuta yanayoingia u.s.a yanatoka venezuela-ndo maana u.s.a hana mapnago nae maana mambo yake anayatimiza
 
Back
Top Bottom