Iran imeua waandamanaji 12,000 baada ya kuzima Internet nchini humo

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
6,926
Reaction score
6,025
Utawala wa Iran chini ya utawala wa jiislamu umewaua waandamaji zaidi ya 12,000 baada tu ya kuzima mitandao nchi nzima

Hii inaonyesha ni jinsi gani utawala huo usivyo na huruma jwa watu wake wenyewe!! Na umeonyesha ni jinsi gani utawala huo ni wa kikatili.

Miwili ni mingi. Tofauti yao na kale ka nchi ka oktoba ni kuwa hao miwili yao imeachwa na ndugu wanaitambua. Ila kule sweepers walipita. Na sasa data cleaners wanaendeleza kudadeki
 
Utawala wa Iran chini ya utawala wa jiislamu umewaua waandamaji zaidi ya 12,000 baada tu ya kuzima mitandao nchi nzima

Hii inaonyesha ni jinsi gani utawala huo usivyo na huruma jwa watu wake wenyewe!! Na umeonyesha ni jinsi gani utawala huo ni wa kikatili.
Kawaida kwani UONGOZI NA ALLAH ukiambiwa uchague utachagua nini shekhe lazima uchague uongozi ili upate pesa mambo ya Imani unawaachia masikini
 
Utawala wa Iran chini ya utawala wa jiislamu umewaua waandamaji zaidi ya 12,000 baada tu ya kuzima mitandao nchi nzima

Hii inaonyesha ni jinsi gani utawala huo usivyo na huruma jwa watu wake wenyewe!! Na umeonyesha ni jinsi gani utawala huo ni wa kikatili.
Kawaida kwani UONGOZI NA ALLAH ukiambiwa uchague utachagua nini shekhe lazima uchague uongozi ili upate pesa mambo ya Imani unawaachia
 
Kiongozi wa nchi akiwa mwislamu, kuua n chap tuu c unajua tena kuna ahadi moto moto huko peponi.

Mwanaume atapewa bikra 72 na wanawake watapata fursa ya kupata bikra kila baada ya kupelekewa moto.
 
Manina Mossad wamepelekewa moto walidhani muajemi Fala mwenzao
Kwa ujinga wako hawa wote ni Wayahudi au Mossad?
 
Attachments

  • IMG_20260113_213617_957.jpg
    IMG_20260113_213617_957.jpg
    110.8 KB · Views: 7
  • IMG_20260113_213617_920.jpg
    IMG_20260113_213617_920.jpg
    77.6 KB · Views: 8
  • IMG_20260113_213618_417.jpg
    IMG_20260113_213618_417.jpg
    235 KB · Views: 6
Utawala wa Iran chini ya utawala wa jiislamu umewaua waandamaji zaidi ya 12,000 baada tu ya kuzima mitandao nchi nzima

Hii inaonyesha ni jinsi gani utawala huo usivyo na huruma jwa watu wake wenyewe!! Na umeonyesha ni jinsi gani utawala huo ni wa kikatili.

View attachment 3529516
watu 12k una ushahidi wa hizi namba?
 
Ayatollah’s soon atapelekewa moto, opportunity ya Trump kumaliza hii regime
 
Mamluki ni muhimu wawajibishwe, adhabu yao ni kwenda kupumzika na kuiacha Dunia kwa wanao penda amani na haki
 
Back
Top Bottom