IRAN IMETANGAZA MAZISHI YA ALI LARIJANI
MACHI 18, 2026
Kwa wale ambao bado wanadai kuwa ALI LARIJANI hajafa katika shambulio la anga la Israeli…
Basi leo, Machi 18, 2026, kituo cha Al Jazeera kimetoa taarifa kwamba:
"Iran wanafanya mazishi ya Ali Larijani."
Lakini pamoja na hilo, bado wapo...