Iran hawana jeshi, wana mgambo, ona orodha ya viongozi wakubwa wa jeshi waliouawa kwa siku chache na marubani wa kike wa Israel

Iran hawana jeshi, wana mgambo, ona orodha ya viongozi wakubwa wa jeshi waliouawa kwa siku chache na marubani wa kike wa Israel

Alafu hapo kobazi watakwambia kuwa wao ndo wameshinda vita
Ukimsikia mzungu wa kizazi cha Trump anaweka neno 'boy!' katikati ya sentensi,jua hapo anasifia kwelikweli,yaani kibongobongo ni k*maamake!!..sasa wakati anaelezea israel alivyobondwa siku za mwisho aliweka neno boy,leo wayahudi raia wamehojiwa wanasema walijua ndiyo mwisho wao,wewe mmatengo endelea kubeza
 
Ivi wewe mshangazi kumbe upo siku nyingi sikuoni dada yangu mzuri
 
Ila hawa jamaa ni ubishi tu ila Iran ni weupe sana.............alianza mkuu wa inchi kutafunwa.........ila hawashtuki sijui ni nyumbu hawa.............sasa majenero wote kwenda na maji............ayatollah anataka kutawala peke yake kama hangaya.............
 
Kelele nyingi kutoka kwenye source za uchochoroni 😂😂

Weka hapa hata rubani moja tu wa Israel alieuawa, MOJA TU !! ndege kibao zinaingia na kutoka Iran lakini hakuna hata moja iliyoshuswa, Israel akiingia Iran anakula vichwa vya tu !

Israel kujilinda kifedha sio hasara yoyote kwake hata atumie billions of dollars, Pesa kwa Israel ni kama makaratasi, , wao wanauza teknolojia tu, ndio maana inaitwa startup nation, hakuna nchi dunia nzima yenye msongamano mkubwa wa makampuni ya ubunifu kama Israel, ndio kundi kubwa lenye ma genius waliobeba noble prize za kitaaluma, akili ni silaha kubwa sana.
Source hizi hizi zinazosema Israel INA WAISLAM mara tano ya wakristoISLAM is second majority in Israel
Ama source zile source zilizosema Iran kalipua Haifa port inayosupply Israel 75% ya petroleum productsCNN:Iran hit Haifa Refinery
Usije kua ni miongoni kwa wakristo wapumbavu wachache wanaoamini Israel ni Taifa Teule linaloteta ukristo ilhali pale Israel Yesu na ukristo ni kama kua mhaini hapa TZWhy Jews hate christian
Kama wewe sio miongoni wa hizo groups weka source na wewe tuone?😄😁😆
 
Ni kundi dogo sana la wayahudi wanaochukia wakrtisto, wao huitwa hasidic jews, wapo kama 10 % hivi, wao kutemea wakristo mate si jambo la ajabu, wana maisha ya tofauti sana, hawataki kujiunga hata kwenye jeshi la Israel, wanaamini Israel haikutakiwa kuwepo, n.k.

Charlie Kirk na Ben Shapiro ni wanamitandao maarufu wayahudi na ni wakristo, hawapati shida yoyote wawapo kwao Israel nje ya hao hasidic'

Waislam wengi wa Israel ni waarabu waliotoka Syria, Egypt, Iraq, n.k. wapo kama 20 %, lakini ukienda nchi za kiarabu ni ngumu sana kukuta wayahudi na hata waliopo huishi maisha ya hofu ama sheria nyingi huwabana wasiwe huru kiimani.

Kwa kumalizia sipo upande wa Israel kwasababu ya dini, Historia inawapa haki ya kurudi kwao na kuwa kama nchi nyingine.
 
Weka source kuonesha wayahudi wanaukubali ukristo?,,na kwa nini waisrael waupende ukristo wakati ni dini tofauti na yao?😆😆
Yaani mkristo wa bongo anaweka kwenye gari bendera ya Israel nchi yenye dini tofauti,Imani tofauti na yake?

Kua huamini kua mkristo pale Israel ni taka taka tu CNBC:HOW JEWS hates Christians
Au tuweke sources za audio za walokole😄😁,wakipiga maombi kwa mungu wa Israel
Ni kundi dogo sana lawayahudi wanaochukia wakrtisto, wao huitwa hasidic jews, wapo kama 10 % hivi, wao kutemea wakristo mate si jambo la ajabu, wana maisha ya tofauti sana, hawataki kujiunga hata kwenye jeshi la Israel, wanaamini Israel haikutakiwa kuwepo, n.k.

Charlie Kirk na Ben Shapiro ni wanamitandao maarufu wayahudi na ni wakristo, hawapati shida yoyote wawapo kwao Israel nje ya hao hasidic
 
Weka source kuonesha wayahudi wanaukubali ukristo?,,na kwa nini waisrael waupende ukristo wakati ni dini tofauti na yao?😆😆
Yaani mkristo wa bongo anaweka kwenye gari bendera ya Israel nchi yenye dini tofauti,Imani tofauti na yake?

Kua huamini kua mkristo pale Israel ni taka taka tu CNBC:HOW JEWS hates Christians
Au tuweke sources za audio za walokole😄😁,wakipiga maombi kwa mungu wa Israel
Kuna tofauti kubwa sana ya kuchukia mtu kwasababu ya dini yake na kuweza kukubali imani zenu zipo tofauti ila mkaishi vizuri pamoja.

Hasidic jews kundi la takribani wayahudi asilimia 10 wanachukia wakristo kwasababu ya dini zao wanawaona hawastahili hata kupumua hewa moja, hawa huwezi kuwakuta hata jeshi la Israel, wanaamini Israel haikutakiwa kuwepo.

Wayahudi wengi wanaweza kuishi na wakristo lakini wana imani tofauti, Marekani ni moja ya mfano wa sehemu yenye wayahudi wengi wanaoweza kuishi na wakristo hata kuoana.
 
Hata wewe unaweza kumvia Trump ukamua!
Au umesahau alivyokoswa na risasi?

Shambulizi la kuvizia ni ugaidi!
Kwni mwanamke hata akikupiga risasi au kisu hutakiwi kuuwawa au
Wanamke hawez kufanya kazi inyofanywa na mwanaume hata ukifunzwa vp why ushangae pilot wa kike bt why usishangae mwendo kasi unapanda ww na kende zako lakn unaendeshwa na wakina mama au hile ndege ya tz inayoendeahwa na mwana dada je ile ndege asipande mwanaume mwisho ww ni aa kanda ile inayowadunisha akina mama
 
Iran alivyokuwa mjinga anakubali ceasefire alafu baadae atapigwa tena....
Wakati Iran inaomboleza vifo wenzao Israel anazidi kupata information muhimu za kuichakaza tena
 
Vita ya siku chache zilizopita Israel walitoa kipaumbele kikubwa kwa marubani wa kike,

Hivi ni vichwa vilivyoliwa na marubani wa kike kwa siku 12 tu.

Jenerali Mohammad Bagheri – Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya Iran​

Aliyesimamia vikosi vyote vya kijeshi vya Iran na ulinzi wa kitaifa. (hapa kwetu nafasi yake inafanana na mkuu wa JWTZ)

Meja Jenerali Hossein Salami – Mkuu wa Kikosi cha IRGC​

Kiongozi wa Kikosi kikubwa zaidi kwenye jeshi la Iran cha Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC), aliyeongoza sera za kijeshi dhidi ya Marekani na Israel pamoja na ufadhili wa Houthi, Hamas, Hezbollah, n.k.

Brigedia Jenerali Amir Ali Hajizadeh – Kamanda wa Kikosi cha Anga (Aerospace Forces)​

Kitengo cha mashambulizi kwa njia ya anga - makombora ya masafa marefu na ndege zisizo na rubani (drones).

Brigedia Jenerali Dawood Shekhiyan – Kamanda wa Kikosi cha Ulinzi wa Anga​

Ulinzi wa anga la Iran dhidi ya mashambulizi ya ndege za kivita, kwa kutumia rada na makombora ya kujihami.

Brigedia Jenerali Mohammad Kazemi – Mkuu wa Usalama wa Taifa​

Mtaalamu wa usalama wa nchi, alihusika na intelejensia, ujasusi, upelelezi, n.k.

Jenerali Hassan Mohaqiq – Naibu Mkuu wa Usalama wa Taifa​

Mshirika wa karibu wa Kazemi, alihusika na shughuli za uchunguzi na taarifa za ndani.

Jenerali Gholam Ali Rashid – Mkuu wa kikosi cha Khatam-al Anbiya​

Ni kikosi kinahohusika na kuratibu wa mipango mikuu ya kijeshi na kuunganisha vikosi vya ardhini, angani, na majini.

Brigedia Jenerali Mehdi Rabbani – Naibu Mkuu wa Majeshi​

Alikuwa mshauri na mratibu wa mikakati ya ndani ya ulinzi.=

Luteni Jenerali Ali Shamkhani – Mshauri Mkuu wa Ayatollah katika Vita​

Alihusika katika ushauri wa juu wa kijeshi na sera za Mashariki ya Kati.

Brigedia Jenerali Reza Mozaffarinia Hosein – Mkuu wa Shirika la Uvumbuzi na Utafiti wa Kiulinzi​

Aliongoza maendeleo ya teknolojia za kijeshi, utafiti wa silaha mpya na maendeleo ya mfumo wa ulinzi wa kisasa.
hivyo hivyo na hao mgambo mkaomba ceasefire MAKOLO nyie
 
Iran alivyokuwa mjinga anakubali ceasefire alafu baadae atapigwa tena....
Wakati Iran inaomboleza vifo wenzao Israel anazidi kupata information muhimu za kuichakaza tena
wacha mdomo ngoja tuone,mlisema hayo kabla ya vita siku 12 tu watu wanaomba ceasefire,pata information zozote ila kikiumana IRAN itauma vilivyo
 
Back
Top Bottom