Vita ya siku chache zilizopita Israel walitoa kipaumbele kikubwa kwa marubani wa kike,
Hivi ni vichwa vilivyoliwa na marubani wa kike kwa siku 12 tu.
Jenerali Mohammad Bagheri – Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya Iran
Aliyesimamia vikosi vyote vya kijeshi vya Iran na ulinzi wa kitaifa. (Ni sawa na Mkunda au Mabeyo huko Iran)
Meja Jenerali Hossein Salami – Mkuu wa Kikosi cha IRGC
Kiongozi wa Kikosi kikubwa zaidi kwenye jeshi la Iran cha Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC), aliyeongoza sera za kijeshi dhidi ya Marekani na Israel pamoja na ufadhili wa Houthi, Hamas, Hezbollah, n.k.
Brigedia Jenerali Amir Ali Hajizadeh – Kamanda wa Kikosi cha Anga (Aerospace Forces)
Kit
Israel loss is more than $12 billion engo cha mashambulizi kwa njia ya anga - makombora ya masafa marefu na ndege zisizo na rubani (drones).
Brigedia Jenerali Dawood Shekhiyan – Kamanda wa Kikosi cha Ulinzi wa Anga
Ulinzi wa anga la Iran dhidi ya mashambulizi ya ndege za kivita, kwa kutumia rada na makombora ya kujihami.
Brigedia Jenerali Mohammad Kazemi – Mkuu wa Usalama wa Taifa
Mtaalamu wa usalama wa ndani ya kijeshi, alisimamia idara ya kijasusi ya IRGC.
Jenerali Hassan Mohaqiq – Naibu Mkuu wa Usalama wa Taifa
Mshirika wa karibu wa Kazemi, alihusika na shughuli za uchunguzi na taarifa za ndani.
Jenerali Gholam Ali Rashid – Mkuu wa kikosi cha Khatam-al Anbiya
Ni kikosi kinahohusika na kuratibu wa mipango mikuu ya kijeshi na kuunganisha vikosi vya ardhini, angani, na majini.
Brigedia Jenerali Mehdi Rabbani – Naibu Mkuu wa Majeshi
Alikuwa mshauri na mratibu wa mikakati ya ndani ya ulinzi.=
Luteni Jenerali Ali Shamkhani – Mshauri Mkuu wa Ayatollah katika Vita
Alihusika katika ushauri wa juu wa kijeshi na sera za Mashariki ya Kati.
Brigedia Jenerali Reza Mozaffarinia Hosein – Mkuu wa Shirika la Uvumbuzi na Utafiti wa Kiulinzi
Aliongoza maendeleo ya teknolojia za kijeshi, utafiti wa silaha mpya na maendeleo ya mfumo wa ulinzi wa kisasa.