🤣🤣🤣🤣 walikuwa wanakwenda kwenye Festival, wrngine walikuwa wabapeleka watoto shule
Wamemdetain balozi wa UK pia, bunge la Iran limekaa kwa dharula kujadili ulazima wa kumfukuza balozi huyo.Ndio tunatakiwa kuelewa kama majakaa wamewaua watu walokuwemo kwa ndege kwa makusudi ila sijajua kwasababu zipi ?!
....
Sent using Jamii Forums mobile app
The recent Ukrainian Airplane incident in which the plane was shot down by an Iranian cruise missile in the land of Iran just a minutes after having taken off in Tehran and claimed the lives of approximately 176 passengers on board.
It has been finally revealed that, the Iranian government ordered the shooting down of the plane after its intelligence apparatus learnt in the last hours that ,some of the passengers in the Ukrainian Airline were US Spies camouflaged by Canadian Passports.
Remember that, the plane had 63 Canadian passengers, so, some of those 63 Canadian passengers were US and Israel Spies.
Tehran has not forgotten the assassination of its nuclear scientist which was carried out by Mossad agents who also were camouflaged by Australian Passports.
At first, they denied shooting down the plane, lastly they conceded,and said that they thought it was a missile.
Does a plane match a missile in such a way that it can be likened?
The CIA intelligence sources have questioned.
Sent using Jamii Forums mobile app
wewe jamaa ujui hata unacho comment umejaa ushabiki post zako bila uchambuzi.siwezi kukulaumu na ulipo zaliwa
Sent from my iPhone using JamiiForums
lugha nzuri, mada matango poriThe recent Ukrainian Airplane incident in which the plane was shot down by an Iranian cruise missile in the land of Iran just a minutes after having taken off in Tehran and claimed the lives of approximately 176 passengers on board.
It has been finally revealed that, the Iranian government ordered the shooting down of the plane after its intelligence apparatus learnt in the last hours that ,some of the passengers in the Ukrainian Airline were US Spies camouflaged by Canadian Passports.
Remember that, the plane had 63 Canadian passengers, so, some of those 63 Canadian passengers were US and Israel Spies.
Tehran has not forgotten the assassination of its nuclear scientist which was carried out by Mossad agents who also were camouflaged by Australian Passports.
At first, they denied shooting down the plane, lastly they conceded,and said that they thought it was a missile.
Does a plane match a missile in such a way that it can be likened?
The CIA intelligence sources have questioned.
Sent using Jamii Forums mobile app
unashangaa iyo, al-shabab anajitoa muhanga anaua wasomalia 200 na mzungu mmoja, target ni uyo mzungu,
we mtoa mada una akili matope, yaani uue watu zaidi ya 150 kwa ajili ya maspies wawili au watatu
If caught or anything happen, you are on your ownIla piamleta mada kumbuka cia na mossad watu wao wakifa huwa kamwe serikal zao hazikiri walikuwa spy hivyo kuna Dalili za uwongo hapa.
Ili kuhalalisha mauaji hayo ya raia, Iran ina uwezo wa kusema chochote ili mataifa wasimseme zaidi. Lakini kusema ati hao wote walikuwa majasusi, iweje hiyo ndege iamke uanjani bila shida yeyote hvi inaingia akilini kweli?? Walishindwa nini kuwazuia hadi wapande ndege na ndege iinuke ndo iangushwe??
Maswali ni mengi kuliko majibu. Iran iwajibishwe tu kwa mauaji yaso na sababu
Ndio ufungue tafakari pana..then why waliishoot?Iran walinishangaza eti wamefananisha ndege na cruise missile. Yaani ndege ya abiria ilivo na speed ndogo vile na radar signature kubwa washindwe kuitofautisha na kombola. Hata heat emission ya ndege ni ndogo kuliko ya missile
@elungataMkuu hakuna ukweli wowote ni propaganda za kipumbavu na kijinga.
Kuwakamata kungekuwa na faida maradufu kwa Tehran badala ya kuwauwa. Ni uzushi
Wameuwa raia wasio na hatia sasa ni uzushi tu.
Logic but sizani kama CIA wanaweza kuwa 63 ndani ya ndege moja uo ni uongo labda walikuwepo watu kama 3 pengine mmoja.
63 American spies with Canadian Passport waliwatambua baada ya ndege kupaa? Yaani intelligence yao ilishindwa kutambua all 63 Spies before??
Bila kujali kama habari ni kweli au si kweli, lakini mnatakiwa kuelewa alichoandika mleta mada kwamba:-Niliuliza swali kama hili kwa hawa Mapopoma wa Lumumba sikujibiwa. Maspy wa Marekani 63 wapande ndege moja utafikiri nao wako kwenye payroll ya Makonda?
Kwamba intelligence iligundua ndani ya ndege kulikuwa na Majasusi wanaotumia passposrt za Canada! Aidha, kwenye ndege kulikuwa na ABIRIA (sio majusi) 63 waliokuwa wanatumia passport za Canada! Hivyo basi, kama kulikuwa na Majasusi waliokuwa wanatumia passport za Canada, basi majasusi hao wapo AMONG 63 passengers! Which means, kati ya hao 63, kulikuwa na ama jasusi 1, au 2, au 3, au 4 na kuendelea, au hata wote 63 lakini haku-conclude kwamba kulikuwa na majasusi 63!!!It has been finally revealed that, the Iranian government ordered the shooting down of the plane after its intelligence apparatus learnt in the last hours that ,some of the passengers in the Ukrainian Airline were US Spies camouflaged by Canadian Passports.
Remember that, the plane had 63 Canadian passengers, so, some of those 63 Canadian passengers were US and Israel Spies.
Hapa US yenyewe ilishindwa kutofautisha nini mpk ikalipua ndege ya abiria?Iran walinishangaza eti wamefananisha ndege na cruise missile. Yaani ndege ya abiria ilivo na speed ndogo vile na radar signature kubwa washindwe kuitofautisha na kombola. Hata heat emission ya ndege ni ndogo kuliko ya missile
Kakaa, acha tu ushabiki ka huo. Udungue ndege ya kiraia kisa imebeba wazungu?? Hii si vyema hata shetwani atakataa. Kule ndani walikuwepo watu mbalimbali, wanaotegemewa mno. Uwaue tu kwa sababu ya kiu yako ya damu au kwa sababu ya hasira ya kuuliwa kwa askari muuaji mkuu?? Sitaki hata kusoma utakacho andika tenaAmerika na Israel iliwajibishwa lini kwa mauaji na unyama anaofanya? Au kwakua ni Iran?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao Canadians ni Iranians pia. Walikuwa na Duo nationality. Hii sijui ma spy ni pumba kama pumba zingine tu.
US ilivyotungua ndege ya abiria ya Iran unajua alichokisema George HW Bush?Kakaa, acha tu ushabiki ka huo. Udungue ndege ya kiraia kisa imebeba wazungu?? Hii si vyema hata shetwani atakataa. Kule ndani walikuwepo watu mbalimbali, wanaotegemewa mno. Uwaue tu kwa sababu ya kiu yako ya damu au kwa sababu ya hasira ya kuuliwa kwa askari muuaji mkuu?? Sitaki hata kusoma utakacho andika tena
Kakaa, acha tu ushabiki ka huo. Udungue ndege ya kiraia kisa imebeba wazungu?? Hii si vyema hata shetwani atakataa. Kule ndani walikuwepo watu mbalimbali, wanaotegemewa mno. Uwaue tu kwa sababu ya kiu yako ya damu au kwa sababu ya hasira ya kuuliwa kwa askari muuaji mkuu?? Sitaki hata kusoma utakacho andika tena
U.S alisemaje baada ya kulipua hiyo ndege. Yaani Iran walikosa hata kisingizio cha maana wanakuja kusema walijua ni missile, bora wangesema walijua ni jet fighter au recon plane.Hapa US yenyewe ilishindwa kutofautisha nini mpk ikalipua ndege ya abiria?View attachment 1320851
dodge