Iran has killed all spies

Iran has killed all spies

My Son drink water

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2016
Posts
4,930
Reaction score
13,333
The recent Ukrainian Airplane incident in which the plane was shot down by an Iranian cruise missile in the land of Iran just a minutes after having taken off in Tehran and claimed the lives of approximately 176 passengers on board.

It has been finally revealed that, the Iranian government ordered the shooting down of the plane after its intelligence apparatus learnt in the last hours that ,some of the passengers in the Ukrainian Airline were US Spies camouflaged by Canadian Passports.

Remember that, the plane had 63 Canadian passengers, so, some of those 63 Canadian passengers were US and Israel Spies.

Tehran has not forgotten the assassination of its nuclear scientist which was carried out by Mossad agents who also were camouflaged by Australian Passports.

At first, they denied shooting down the plane, lastly they conceded,and said that they thought it was a missile.

Does a plane match a missile in such a way that it can be likened?

The CIA intelligence sources have questioned.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uzuri Iran hua haiwacheleweshi hao wadudu wa US,mwaka jana waliwadaka kadhaa.
Screenshot_2020-01-12-14-50-25-1.jpeg


dodge
 
Iran walinishangaza eti wamefananisha ndege na cruise missile. Yaani ndege ya abiria ilivo na speed ndogo vile na radar signature kubwa washindwe kuitofautisha na kombola. Hata heat emission ya ndege ni ndogo kuliko ya missile
 
Logic but sizani kama CIA wanaweza kuwa 63 ndani ya ndege moja uo ni uongo labda walikuwepo watu kama 3 pengine mmoja.

Kama ni kweli kitengo cha usalama cha marekani kiliruhusu wasafiri wote pamoja basi kuna haja ya kuwafanyia uchunguzi waliowatuma.

Mambo ya usalama yamechange siku izi mashirika ya kijasusi yanawatumia adi, wanamitindo, wasanii hasa wa nyimbo za dini, wachezaji, wafanyabiashara, walimu wanafunzi, vilema hata wangonjwa

UK inasemekana timu yake ya taifa iliyoenda Urusi kwenye kombe la dunia 2018 ilijaa majasusi kibao na waliondoka Urusi na nyaraka kibao.

Angalia taifa la Marekani lilivyowekeza kwenye kila mchezo lengo waweze kufika popote duniani kwa kutumia mgongo wa michezo na kuchukua chochote au kufanya chochote.

Hakuna nchi duniani inayoweza kujizuia isifanyiwe ujasusi.
 
Iran walinishangaza eti wamefananisha ndege na cruise missile. Yaani ndege ya abiria ilivo na speed ndogo vile na radar signature kubwa washindwe kuitofautisha na kombola. Hata heat emission ya ndege ni ndogo kuliko ya missile
Ndio tunatakiwa kuelewa kama majakaa wamewaua watu walokuwemo kwa ndege kwa makusudi ila sijajua kwasababu zipi ?!

....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kusafiri kwa pamoja inaweza isiwe rahisi ila pia inawezekana walienda kwa mission moja na wakat wanaona mambo eidha yameshafanikiwa ama yashaharibika wakaona watoroke ikawalazimu wapande ndege moja hata kama hawakua hao wote waliopo kwa ndege ila inawezekanika walikua wengi
Logic but sizani kama CIA wanaweza kuwa 63 ndani ya ndege moja uo ni uongo labda walikuwepo watu kama 3 pengine mmoja. kama ni kweli kitengo cha usalama cha marekani kiruhusu wasafiri wote pamoja basi kuna haja ya kuwafanyia uchunguzi waliowatuma.
Sitaki kuamini kwamba ndege iloruka kutoka katika uwanja wenu wandege hata robo saaaa haijapita uifananishe na kombora ama ndege yakijeshi...

Kiuhalisia hii ndege ilishushwa kwa makusudi hakuna hata chembe ya bahati mbaya hapa

Ila kinachoshangaza ama kinachoshtusha nakuacha maswali imekuaje mpaka wakaua mpaka raia wengi walokuwemo humo !?

Maana kama kulikua na majasusi haiwezekani yakwamba walikua wote ndege nzima BiG NOOOO

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao Canadians ni Iranians pia. Walikuwa na Duo nationality. Hii sijui ma spy ni pumba kama pumba zingine tu.
 
Hilo bao lako bora wangelipigia puli au wangetumia ndomu tu.

dodge

sasa unajibu nini na hiyo picha uliyo weka kichwa vitabu. kweli nchi kufika mpaka pale ni ngumu


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom