Iran Finalizes Bill to Ban EU Oil Exports | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Iran Finalizes Bill to Ban EU Oil Exports

Discussion in 'International Forum' started by X-PASTER, Jan 28, 2012.

 1. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #1
  Jan 28, 2012
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Iran Finalizes Bill to Ban EU Oil Exports


  [​IMG]
  Iranian lawmakers aim to ban all oil exports to European countries in response to
  the oil ban against
  Iran


  An Iranian lawmaker says the Majlis (parliament) Energy Committee has finalized a draft bill to stop the country's oil exports to EU member states in reaction to the bloc's recent decision to ban oil imports from Iran.

  Nasser Soudani, deputy chairman of the committee, said on Saturday that the double-urgency bill for halting Iran oil exports to Europe had been finalized in four clauses.

  "According to one of the main clauses, the Islamic Republic of Iran will halt all oil exports to European countries as long as they continue to ban oil imports from Iran," he added.

  The lawmaker said the bill may undergo further modifications as some Iranian parliamentarians believe that oil exports to EU should be stopped for five years.

  "Another clause obliges the government to forbid imports of all goods from countries which have imposed sanctions on our country," he added.

  Soudani announced on January 25 that in reaction to EU sanctions against Iran's oil sector and central bank, Iranian lawmakers were drafting a new law to stop oil supply to European countries.

  During their latest meeting in Brussels on January 23, EU foreign ministers reached an agreement to ban oil imports from Iran, freeze the country's central bank's assets within EU, and ban sales of diamonds, gold and other precious metals to Iran.

  EU foreign policy chief, Catherine Ashton, claimed that the new sanctions aim to bring Iran back to negotiations with P5+1 -- US, UK, France, Russia, China and Germany -- over the country's peaceful nuclear program.

  The United States, Israel and their European allies accuse Tehran of pursuing military objectives in its nuclear program and have used this pretext to impose four rounds of international and a series of unilateral sanctions against the Islamic Republic.

  Iran has refuted the allegations, arguing that as a signatory to the Nuclear Non-Proliferation Treaty and a member of the International Atomic Energy Agency, Tehran has a right to use nuclear technology for peaceful use.


  SS/PKH/HGH
   
 2. YoungCorporate

  YoungCorporate JF-Expert Member

  #2
  Jan 28, 2012
  Joined: Apr 30, 2010
  Messages: 388
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  maskini jeuri!!
   
 3. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #3
  Jan 28, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,800
  Trophy Points: 280
  wananikumbusha pilika pilika za sadamu huseni muda mfupi kabla ya kichapo, yetu macho.
   
 4. Kamaka

  Kamaka JF-Expert Member

  #4
  Jan 29, 2012
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 565
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Bila ukandamizaji hizo sera za kidini zisingekuwepo.! Refer to all holy books.
   
 5. Bantugbro

  Bantugbro JF-Expert Member

  #5
  Jan 29, 2012
  Joined: Feb 22, 2009
  Messages: 2,684
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Dont know what you are saying...
  The economy of Iran is the world's 26th largest economy by market value nominal GDP, and the seventeenth largest in the world by purchasing power parity (PPP).
   
 6. prakatatumba

  prakatatumba JF-Expert Member

  #6
  Jan 29, 2012
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 1,337
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Iran waonyeshe hao wa magharibi maana homosexual ndyo sera zao.
   
 7. Kabaridi

  Kabaridi JF-Expert Member

  #7
  Jan 29, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 2,028
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  Hata kama Iran itawekea vikwazo EU na Marekani na wao ndio watumiaji wakubwa wa mafuta ni kama mtu kuchuna ndovu. Marekani wana kwingi ambapo wanaweza uza bidhaa zao. exports za Iran zitauzwa wapi maana jirani zao saudi arabia ni wakuu kiuchumi
   
 8. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #8
  Jan 29, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,818
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  hata akizuia hana shida,naona anafata reaction ya eu
  Saud arabia washasema wanaweza kuproduce as demand itakavyokuwa
   
 9. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #9
  Jan 29, 2012
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,103
  Likes Received: 22,143
  Trophy Points: 280
  Nawashauri Iran, Oil yote ambayo watashindwa kuiuza nje kwa vikwazo, waimwage Persian Gulf waitie moto, pasipite kitu pale. Kama kukosa basi ni wote.
   
 10. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #10
  Jan 29, 2012
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  tatizo hii move haitaisidia Iran kwa namna yeyote. tena Iran wataumia zaidi.

  Watafadaika Supplier wengie wa mafuta maana Bei ya mfut aitapanda. So faida itawenda Kuwaita UAE bahrain. Sasa sijui kama iran kwenye OPEC iran ina veto maana OPEC wakikubali kuongeza uzalishaji. wa kuwa uk usa france washajiingiza Libya mhhh.

  Mi naona karata mbili kuu za iran kutumia ni ya Mitmbo ya nyuklia kama mwenzake Korea na Israel. hizo ni karata mbili amabzo zinaweza kumfanya Obama afikririe firkie mara mbili. Hii ya mafuta mhhh....
   
 11. Bantugbro

  Bantugbro JF-Expert Member

  #11
  Jan 29, 2012
  Joined: Feb 22, 2009
  Messages: 2,684
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Mkuu Mtazamaji,

  Kwanza, US walishaacha kununua mafuta ya Iran since late 70s, na hao EU wananunua only 18% ya mafuta ya Iran. Wanunuzi wakubwa ni China, India, Japan, na South Korea wote hao wamesema bado hawako tayari kuacha kununua mafuta ya Iran.

  Pili, EU pamoja na ban yao lakini bado wanaendelea kununua mafuta ya Iran mpaka baada ya miezi sita (6) mikataba iliyopo itakapoisha na wao kupata alternative suppliers. Sasa kama Iran waki-couter ban kabla ya miezi sita (6) watakaoumia zaidi ni EU sana sana nchi zenye matatizo ya mdororo wa uchumi kama Italy, Greek, Spain etc, etc.

  Tatu, kuhusu ishu ya vita mapaka sasa US na allies hawana bomu la kawaida (non-nuclear bomb) la kuweza kupenyeza kwenye visima-vianzilishi vya nyuklia ambayo Iran wamejenga chini ya milima ya Fordo. Hivi visima-vianzilishi vya nyuklia viko mita sitini (60) chini ya mwamba wa mlima. Bomu kubwa kabisa ambalo marekani analo kwa sasa Massive Ordinance Penetrator (MOP) lina uwezo wa kupenyeza chini ya mwamba umbali wa mita thelethini (30) tu.

  Kwa hiyo option iliyopo ni kutumia tactical nuclear weapons kwa kazi hiyo, kitu ambacho nchi nyingine kubwa kama Russia na China hawawezi kukaa kimya.

  Nne na mwisho, hao alternative suppliers ni hizo nchi nyingine ambazo zina-share hiyo Strait of Homuz ambayo Iran wametishia kuizuia swali je ni vita ya aina gani itatokea hapo....?
   
 12. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #12
  Jan 29, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,818
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  mkuu wana Massive ordinance penetrator ambayo walishaifanyia test,na mwaka huu nazani ilikuwa ndo mwaka wake wa kuwa operational.
  bomu hilo lina uwezo wa kwenda chini mita 61
  cheki hapa
  http://www.google.co.tz/url?sa=t&rct=j&q=Massive+Ordinance+Penetrator&source=web&cd=1&ved=0CCwQFjAA&url=http%3A%2F%2Fen.wikipedia.org%2Fwiki%2FMassive_Ordnance_Penetrator&ei=MlIlT4XvB4uWhQed3OXzBA&usg=AFQjCNHvrUndTpyBPd5x6SQbdD2LS5sVpw&cad=rja
   
 13. Bantugbro

  Bantugbro JF-Expert Member

  #13
  Jan 29, 2012
  Joined: Feb 22, 2009
  Messages: 2,684
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Achana na Wikipedia, hilo bomb bado Boeng ambao ni contractors hawajali-deliver kwa wateja wao US DOD ....:A S-coffee:

  US toothless against Iran rock: Pentagon seeks new superbomb — RT
   
 14. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #14
  Jan 29, 2012
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  mkuu tutakaoumia ni sisi nchi masikini zaidi na na sio EU. hizo nchi za EU kubwa
  • kwanza zina contigency plan na Reserve ni moja ya contigency plan walizonazo
  • pili vita ya panzi furaha ya kunguru. kama EU na USA wameiweka UAE, kuwait, libya irak mfukoni wanamwambia mbaya wenu iran kaacha kutuuzia mafuta nyie fyatueni mapipa zaidi mengi tena mtauza kwa bei ya juu zaidi.......
  hapo ndipo napoona iran hatafidika chochote. kama kuuumia tutaumia zaidi mataifa madogo . Mataifa makubwa yatahitaji kuadjust tu mambo kadhaa.
  mkuu iran yuko tayari kwenye "vita" siku nyingi usisubiri kuskiia vita ya mabomu kama ya vietnam. hiyo haitatokea ikitokea itakuwa kama mambo ya Libya watagombanishwa wenyewe kwa wenyewe.
  Ndio maana hata hiyo mitambo iko behind schedule mitambo hiyo ya nyuklia "ilishambuliw" na inashambuliwa kwa njia mbali mbali kama vile
  • Mtandao- Stutnex - maelezo yapo hapa na hapa
  • Vile vile iran inashambuiwa kiuchumi na viwanda. Sasa hivi mashirika yake ya ndege hayawezi kununua spare na hata kujaza mafuta sehemu za ulaya iimebidi iran iuze route zake nyingi kwa mashrikia mengine ya kirabu
  mpaka hapa unaona jamaa wanammminya muiran ili akubali kukaa mezani. Anchoweza kufanya iran ni ktumia karata kama aliytumia yule kiongozi wa kOrea .Huo ni mtazamo wangu. SI kwamba siipendi iran au nawatetea EU no najaribu kuchambua mambo tu navyoyaona


  Lakini kumbuka dynamics za dunia ya sasa hakuna permanent friend wala enemy. Hao russia na China wanaweza kugeuka wakati wowote. Si tumeona na tumesikia Libya. kuna tofauti ya statement tunazosoma kwenye tv na hali halisi. RUssia na china ndio walimuuza Gadaffi.
  Lakini hiyo ya tactical nuclear weapon kama bargaining power hata mimi naona inaipa Iran strog position. same as N. korea. lakini sio hiyo ya mafuta.

  Anyway ngoja tuone sidhani kama kuna vita tulivyozoea itatokea kati ya Iran na nchi za maghribi. na Iran asipokuwa makini akapoteza trust na majirani zake wote basi itakuwa no wanachotaka EU. iran aatakiwa kujua uadui wake ni wa nani . aifunga hiyo straight basi hata nchi ambazo zlidhani ni marafiki zitamuona ni adui.
   
 15. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #15
  Jan 30, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,818
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
 16. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #16
  Jan 30, 2012
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,945
  Likes Received: 2,090
  Trophy Points: 280
  Hivi hawa Iranians wanakoje, EU ame-ban import halafu wao wana-ban export; hivi wasipo-ban export wakati EU ame-ban import, export ingefanyika kweli?
   
 17. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #17
  Jan 30, 2012
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,945
  Likes Received: 2,090
  Trophy Points: 280
  Hivi hawa Iranians wakoje, EU ame-ban import halafu wao wana-ban export; hivi wasipo-ban export wakati EU ame-ban import, export ingefanyika kweli?
   
 18. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #18
  Jan 30, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,818
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  vichwa vya wendawazimu
   
 19. Bantugbro

  Bantugbro JF-Expert Member

  #19
  Jan 30, 2012
  Joined: Feb 22, 2009
  Messages: 2,684
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Ok mkuu, lets wait for a unbiased expert advice on the matter...:A S-coffee:
   
 20. Bantugbro

  Bantugbro JF-Expert Member

  #20
  Jan 30, 2012
  Joined: Feb 22, 2009
  Messages: 2,684
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Ban ya EU bado haija-take effect kwa nchi zote za EU kuna wengine bado wanaendelea kununua mafuta ya Iran mpaka hapo mikataba iliyopo itakapoisha au ndani ya miezi sita (6) which ever comes first...hao ndo watakaoathirika in a short-run.:A S-coffee:

  Pia kumbuka hiyo counter-ban ya Iran ina future implications kwa mfano ikigundulika kuwa kumbe walikuwa hawa-develop nuclear weapons as they are now alleged of being doing.
   
Loading...