Hii itawaumiza hawa Iranians kuliko mnavyofikiria,hizo sanctions sio kama eti US will block meli za mafuta kuingia au kutoka Iran,zitaingia na kutoka as much watakavyotaka na hakuna mtu atazigusa,tatizo litakuja pale kwenye financial system inayo deal na oil transactions kwenye world markets,oil markets yote ni centralized na iko dominated na US with his allies na almost transaction zote ni petrodollar,sasa can you imagine unakuwa banned kwenye markets nzima?na uwezo wako wa transaction kutumia dollar unazuiwa vilevile,mbaya zaidi part ya hiyo ban itahusu any third part itakayofanya business na Iranians,i dont think Russia or Chinese wata risk kuharibu business na US kwa ajiri tuu ya mafuta ya Iran,chinese wanafanya billions of transaction na US ambayo Iran haifikii hata 1%...nina uhakika hata Tanzania wataacha kununua Irans oil ili kuepuka banking system yetu isiwe banned,Iranians wataweza kuuza oil yao kwa njia za panya kwa risk kubwa sana kwa wanunuzi ambao nina uhakika wata demand heavy discount,anyway sanctions kama hizi ndio zilimmaliza Saddam,Gaddaffi etc na hawa US they dont care wanaweza kukuwekea hizo sanctions mpaka utie akili,wanaosema Russia au Chinese hawatakubali inabidi muelewe oil markets inayo operate kwanza na mjue economy kubwa ya China inategemea US business.