Iran Ataishambulia Israel leo

Hahahaaa pakistani hana ata ma
Hakuna Cha intercepted missile makombora yamepiga kweli.
Ambulance zimeanza kuokota majeruhi Tel Aviv.View attachment 3367347
Hao wamejeruhiwa na vipande vya vyoo ambavyo vinapigwa na vyuma vya mabom yaliyotunguliwa wala sio fatal injuries.
 
Ndugu yangu makobazi, huna la kunifundisha em nendeni mkachaji hizo skrepa zenu ndo mzirushe tena 😂
Nenda ukapakwe mafuta huko, Ka mbali haukuhusu naona kinyeo kinakuwahsa ,fuatilia yako acha kujitekenya kama umekalia ukuni.
 
Hahahaaa pakistani hana ata ma

Hao wamejeruhiwa na vipande vya vyoo ambavyo vinapigwa na vyuma vya mabom yaliyotunguliwa wala sio fatal injuries.
Shrapnel haitokani na interception peke yake.
Hata kombora likitua na kulipuka linaachia vyuma ambavyo vinaweza kukugonga.
Nimetuma picha zingine huko majengo yanaungua

Pia Pakistan usimchukulie mchumba bro.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…