Iran Air Force hizo zinapaa

Iran Air Force hizo zinapaa

Mlio sema Israel ana control anga tukawambia hamna lolote Missiles zinaruka. Sa hizi hapa fighter Jet za Iran zinaruka hebu nipeni hapo jibu labda zinaelekea kwenda piga Israel. Leo tena karibu mda huu

View: https://youtube.com/shorts/XrWkWX4PFjE?si=Bj_xmwJoeQl2RfY0

Hakuna kitu kama jet za Iran zinaruka huo ni uongo hawana ubavu wa kupambana na AIF maana toka vita vianze wamefyata Mikia yao maana hawana jinsi!!

Video yenyewe hata haionyeshi vizuri haina sauti. Video fupi haieleweke hata kama zinaruka zinaenda wapi? Maana hatujasikia zimepiga mji gani huko Israel labda utuambie zote zimepopolewa na Majeshi ya Israel!!!!
 
Hizo ndege Iran karusha makusudi jana kuonyesha anga lake liko safi hakuna wenye uwezo wa kuwazuia kurusha ndege au Missiles.

We akili zako unadhani hizo ndege za srael zinatokea israel, karibu Iran atawasukumia Missiles hizo nchi zinazo msaidia Israel kuwachia base zao zitumiwe na israel UAE, Saud Arabia, Qatar, Bahrain, Jordan na Turkey, Azerbaijan

Hi ni official 21,000 waisrael wameisha rudi kwenye nchi zao original safi sana Iran kamatilia hapo hapo
 
Wale waliokuwa wanasema Hezzbolla na Hamas wataiangamiza Israel kipindi kile wangeleta mrejesho yaani (yatokanayo na ile vita).

Maana naona watu wale wale na propaganda zile zile walokuwa nazo kipindi cha vita kati kati ya Israel na Hamas + Hezzbolla naona wamezihamishia tena Iran tena kwa mahaba mazito. It doesn't make sense.

Kwenye ukweli watu waseme ukweli.

Tusichambue kishabiki. Tusichambue kidini.
 
Hizo ndege Iran karusha makusudi jana kuonyesha anga lake liko safi hakuna wenye uwezo wa kuwazuia kurusha ndege au Missiles.

We akili zako unadhani hizo ndege za srael zinatokea israel, karibu Iran atawasukumia Missiles hizo nchi zinazo msaidia Israel kuwachia base zao zitumiwe na israel UAE, Saud Arabia, Qatar, Bahrain, Jordan na Turkey, Azerbaijan

Hi ni official 21,000 waisrael wameisha rudi kwenye nchi zao original safi sana Iran kamatilia hapo hapo
Chai
 
Nakubaliana nawe lakini sioni Kama Turkey inaweza kuunga mkono upuuzi huu!!!
 
Hizo ndege Iran karusha makusudi jana kuonyesha anga lake liko safi hakuna wenye uwezo wa kuwazuia kurusha ndege au Missiles.

We akili zako unadhani hizo ndege za srael zinatokea israel, karibu Iran atawasukumia Missiles hizo nchi zinazo msaidia Israel kuwachia base zao zitumiwe na israel UAE, Saud Arabia, Qatar, Bahrain, Jordan na Turkey, Azerbaijan

Hi ni official 21,000 waisrael wameisha rudi kwenye nchi zao original safi sana Iran kamatilia hapo hapo
Kwa taarifa yako tu kuna wayahudi zaidi ya 200,000 wanarudi nyumbani ambao kati ya hao 3,000 wamefika leo hii na Meli!! Na hao 21,000 sijui umewatoa wapi hao ni wageni kurudi kwao haina shida ni kawaida kwa Wiki hii tu watu zaidi ya 200,000 wanaingia israel kwa shangwe kama unavyowaona kwenye video!!!
 
Attachments

  • IMG_5434.mp4
    402.1 KB
  • IMG_3383.jpeg
    IMG_3383.jpeg
    110.6 KB · Views: 13
Hapo ndipo akili yako ilipoishia?
Reading between the lines unaonekana wazi wazi analytical mind yako ni dismal kabisa, ndio maana unakimbilia kutumia lugha za mitaani, huna uwezo wa kujenga hoja zenye mshiko!!
 
Laiti Kama muajemi angekua hana anga imara Leo hii msingeona watu wa ulaya na mafile kuzunguka zunguka kutafuta suluhisho, ni Kwamba kisu kimegusa mfupa
 
Wale walikuwa wanaulizia operation true promise 3 wako wapi? Sasa Iko true promise 3:17 updated and Will be continuing......full loading
 
Hizi propaganda msisisikilize mkuu.
Hizbollah anajua kabisa Iran ikianguka nayo imeanguka.
Na ilisema utawala ukikaribia kuanguka ndio wataingilia.
Ni muda gani utawala wa iran utakaribia kuanguka?

Kwanini wasubiri na kwanini wadisaidie sasa?
 
Back
Top Bottom