Iran Air Force hizo zinapaa

Iran Air Force hizo zinapaa

Blaaa blaa blaa akitaka kuruka huyo si anaenda Oman atarukia huko kuliko kuzua uwongo. Israel hana control ya anga Iran vipi sa drones na Missiles zinaruka. Habari zenyewe kutoka Mossad au USA na UK unategemea nini tena. We huna akili kabisa
Wewe habari zako zinatoka chombo gani.
 
Wewe habari zako zinatoka chombo gani.
Mimi habari zangu nazitoa Al arabia channel broadcast kutokea UAE na ni ya Saud Arabia hawa wana msupport israel lakini wanaonyesha vipi Iran anampelekea kipondo Israel, Aljazeere, Almayadeen, Israel tv channel i24 hao wako Tela Aviv kabisa.

Mimi nakijua kiyahudi wewe unakijua? Mimi nakijua kiarabu wewe unakijua mimi hata kiajemi nakipata pata na kidosi wewe sijui lugha gani unajua zaidi ya kutengeneza majina humu 30+

Nyumbani kinyamwezi, kisukuma na kinyiramba pia nakijua we labda unajua kizaramu tu sababu umekaa kimombasa Mombasa.
 
Usimuzarau mwenzio nitakupiga usije pigwa ww izrael wakorofi sana hawapendi Aman
 
Iran kawatia adabu wanataka vita visimame mda aliye toa Trump 2 weeks wanasema this is too much hahaha

View: https://youtube.com/shorts/NfFFGo66ORg?si=oQzvxEamAGehZcGB

Tukiwaambia Ayatollah ni jishetwani mnabisha; tukawaambia tumekipata kitabu chake anafundisha jinsi ya kut*mba vitoto vodogo vya kike mnabisha. Haya sasa Msunni mwenzenu anaelezea jinsi Ayatollah alivyo ki**mba kitoto cha kike miaka 4-5 hivi

View: https://youtu.be/60MC3bVFG6s?si=NG0F8i9tyInEfIIZ
 
Sio kila anaye jida Muislam ni Muislam hata kuna Bukhari orignal na Bukhari fake hahaha. We hukumuona yule mwanamke wa kiyahudi kilijifanya Muslam kule Iran alingia na French Passport na alihufadhi mpaa Qur'an kumbe ni myahudi na katumwa na Mossad.

View: https://youtube.com/shorts/wTudJwW_iY8?si=B2bI_5H4STrChPru

View: https://youtube.com/shorts/dTm6T6HRnDY?si=9XGU7lJhbq3t1WZa
 
Screenshot_20250621_171458.jpg
 
Back
Top Bottom