Mchaga usiyekuwa na upeo wa mambo unamjua mwigulu au unamsikia?Mwigulu anaendeleza sarakasi!
dah kwel mkubwHaya mambo yamo ndani ya mioyo ya watu si kadi !!!
![]()
Mbona hizi kadi mpya sana ?.
Hapo ukifingua hizo kadi ndani hazina majina
r.i.p sisiem
Pia chunguza bado Mpya kbsa
Zoom picha uone kadi zilizowazi hazina hata picha za wanachama
Mchaga usiyekuwa na upeo wa mambo unamjua mwigulu au unamsikia?
CCM wasanii sana Yan aiseee
![]()
Mbona hizi kadi mpya sana ?.
Kipigo ni hakihitaji usanii.Kulikuwa na wasanii wangapi?
![]()
Hali imekuwa tete kule Iramba. Habari tulizo zipokea hivi punde zinasema kuwa, Iramba hawataki tena UKAWA wao ni CCM tu wakiongonzwa na katibu mwenezi. Hii ni ishara tosha kuwa CCM inaendelea kung'ara kila kona hapa Tanzania.
![]()
Picha hizo juu ni Iramba Magharibi. Magufuli tisha mbaya. UKAWA wamesha agwa na wakazi wa Iramba.
[h=3][/h]![]()

chadema imepata wanachama wengi mwaka huu tu na inakimbiwa mawaka huu na kufutwa tar 25 oct 2015