Iramba WAIZIKA CHADEMA na UKAWA

Iramba WAIZIKA CHADEMA na UKAWA

kichwa cha habari tu unajua ni nani alieandika uzi ...inakua haina mvuto tena kueni creative basii dah..
alafu vepee mbn kadi zote mpyaa kwikwiikwii

Hapo kwenye avator hiyo picha ni wewe bi dada?
Maana umenona maashaallah!!!
 
Muwanunulie na viatu basi hao viongozi wenu wa Iramba.

30v0htt.png
 
Thanks Iramba

Mkuu kwa sasa ADUI NAMBA MOJA wa Taifa hili ni CCM, Tushirikiane kumuondoa mnyonyaji huyu wa Mali ya UMMA.

Ikatae CCM, ili uweze kuikataa KATIBA YA CHENGE NA SITTA. Kwa manufaa yetu sote na manufaa ya vizazi vijavyo.
 
Mkuu kwa sasa ADUI NAMBA MOJA wa Taifa hili ni CCM, Tushirikiane kumuondoa mnyonyaji huyu wa Mali ya UMMA.

Ikatae CCM, ili uweze kuikataa KATIBA YA CHENGE NA SITTA. Kwa manufaa yetu sote na manufaa ya vizazi vijavyo.
 
Mbona kadi zote mpya au chadema imeanza mwezi wa saba nn?
 
Akifika Lowasa- hadithi itageuka! Iramba wafufua Chadema na kuzika CCM!
 
Oct 25 si mbali sana.
Imani za kadi ya uanachama kuwa sawa na kura ni kujaribu kutuambia MANENO YA KITOTO wakubwa wenzako.
 
Ebu niulize, kwani kadi ni za chadema tuu? Hata hivyo tulisha jua mbinu zenu zakununua kadi na kuzikusanya. Mutaisoma namba
 
Muwanunulie na viatu basi hao viongozi wenu wa Iramba.

30v0htt.png

mkuu Nyambala umenifanya nicheke baada ya kuzooom ... Hivi unadhani huyo mzee mwenye viatu vilivyochoka anapenda au njaaa ndio inamsumbuaaa
 
Last edited by a moderator:
Mbona card zote ni mpya? Au ni mwendelezo wa ule usanii wa ku print card bandia zisizo na majina wala picha.
 
Mwigulu asishangae Ukawa wakachukua jimbo.
Atajuta kuwafahamu.
 
12063394_909349615768447_161580421375893780_n.jpg



12140669_909349632435112_4554302274295140123_n.jpg




Hali imekuwa tete kule Iramba. Habari tulizo zipokea hivi punde zinasema kuwa, Iramba hawataki tena UKAWA wao ni CCM tu wakiongonzwa na katibu mwenezi. Hii ni ishara tosha kuwa CCM inaendelea kung'ara kila kona hapa Tanzania.
12111948_909330109103731_3354977552224465668_n.jpg


12115596_909330129103729_4495738643898982795_n.jpg

Picha hizo juu ni Iramba Magharibi. Magufuli tisha mbaya. UKAWA wamesha agwa na wakazi wa Iramba.

Naona kijana wa makamba uko shift ya mchana leo. 7000 KWA SIKU THEN UNAACHWA KWENYE MATAA BAADA YA KAMPENI KUISHA
 
Back
Top Bottom