Iramba WAIZIKA CHADEMA na UKAWA

Iramba WAIZIKA CHADEMA na UKAWA

Mr Chin

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
4,625
Reaction score
1,024
[h=3]
12063394_909349615768447_161580421375893780_n.jpg
[/h]
12140669_909349632435112_4554302274295140123_n.jpg


Hali imekuwa tete kule Iramba. Habari tulizo zipokea hivi punde zinasema kuwa, Iramba hawataki tena UKAWA wao ni CCM tu wakiongonzwa na katibu mwenezi. Hii ni ishara tosha kuwa CCM inaendelea kung'ara kila kona hapa Tanzania.
12111948_909330109103731_3354977552224465668_n.jpg


12115596_909330129103729_4495738643898982795_n.jpg

Picha hizo juu ni Iramba Magharibi. Magufuli tisha mbaya. UKAWA wamesha agwa na wakazi wa Iramba.

 
kichwa cha habari tu unajua ni nani alieandika uzi ...inakua haina mvuto tena kueni creative basii dah..
alafu vepee mbn kadi zote mpyaa kwikwiikwii
 
Mwigulu anaendeleza sarakasi!
 
Kadi mtauziwa na KURA hamtapewa. watu wameshtuka siku hizi, mkija na hela zenu mnataka kununua kadi za UKAWA tunawapa tunachukuwa mahela yenu kesho tunachukuwa kadi nyingine na tarehe 25 tunawachinja kuanzia 'nyuma'
 
Singida walishazika chadema/ukawa kitambo huku ni Dr Magafuli kwa kwenda mbele hakuna cha lowasa
 
kichwa cha habari tu unajua ni nani alieandika uzi ...inakua haina mvuto tena kueni creative basii dah..
alafu vepee mbn kadi zote mpyaa kwikwiikwii
chadema imepata wanachama wengi mwaka huu tu na inakimbiwa mawaka huu na kufutwa tar 25 oct 2015
 
Khee ukipita maeneo ya singida kuna vibao vinahamasisha watu kujenga vyoo.
Sasa watu ambo hata vyoo ni tabu watawezaje kutunza kadi ziwe mpya ki viile kama zinavyoonekana
 
haa haa wamehongwa kiasi gani? singida amkeni kina mwigulu wanawadanganya ili familia zao ziendelee kwenda chooni...
 
haa haa wamehongwa kiasi gani? singida amkeni kina mwigulu wanawadanganya ili familia zao ziendelee kwenda chooni...
Uliuona ule mkutano ULIODODA WA TUNDU LISU, mpaka akakimbia?

Kipigo chenu kipo pale pale.
 
Back
Top Bottom