Sawa wewe si umefanya hiki vice is true au huonihapo njia simple Robber 1 & 2 wavuke ng'ambo, kule Robber 1 amuache Robber 2! Robber 1 akirudi anachukua bag lake $3000 anavuka mara ya pili, no 2 anarudi mwenyewe anachukua pesa yake @5000 anavuka tena kule ng'ambo analiacha bag na namba 1 anarudi anamchukua Robber 3 wanavuka tena, kule anashuka Robber 2, Robber 3 anafata bag lake $8000 trip ya mwisho wanaenda kula shushu na hivi Sirro kastaafu π
Huoni hapooooo au umeangalia kwa kutumia JICHO lipi mkuu?Okay they will do this
Kwanza ntakomaa na rule 1 na rule 3 na rule 2 Mpaka mwisho
Rule 1 inasema nanukuu
Kivuko kinaweza beba wawili au mmoja kati ya hao watatu pamoja na begi 1 tu
Rule 2 inasema nanukuu
Hakuna jambazi ambae atabaki peke ake na pesa ambayo ni zaidi ya ile aliyoiba
Rule 3 inasema nanukuu
Majambazi wawili hawatakiwi kubaki pamoja na kiasi ambacho ni zaidi ya jumla ya kile walichoiba
Twende sasa na mchezo:
SOLUTION
Robber 1: kaiba $3,000
Robber 2: kaiba $5,000
Robber 3: kaiba $8,000
Cha kwanza tutatumia rule 1 & 2..
Tutaanza na rule 1 & 3:
Robber 1 na Robber 2 wataingia kwenye kivuko na pesa begi 1 $8000 km zilivyo wakati Robber 3 atabaki na $5000+$3000
Wakifika ngambo hapa
Tutatumia rule 2:
Ambapo Robber 2 atashuka na kubaki peke ake (akiwa bila mfuko)
Kisha Robber 1 atarudi na $8000 kwenda kwa Robber 3
Tutatumia rule 1, 2 & 3:
Robber 1 atamchukua Robber 3 kwenye kivuko wakiwa na $5,000
Alafu $3000 na $8000 wataziacha
Kisha watavuka Mpaka kwa Robber 2 watampatia $5000 za kwake
Tutatumia rule 1 & 3:
Kisha watarudi Mpaka ngambo watachukua $3000
Kisha Robber 1 na Robber 3 wakiwa na $3000 watarudi kwenda ngambo kwa Robber 2 wakiwa wameacha $8000 peke ake
Robber 1 atashuka akiwa na $3000 za kwake
Tutatumia rule 3:
Robber 1 atabaki na Rober 2
Hakuna pesa iliyozidi
Tutatumia rule 1,2 & 3:
Baada ya hapo Robber 3 atarudi peke ake na kivuko kwenda kuchukua $8000 waliyoiacha
Kisha atarudi Mpaka ngambo na watatokomea kusikoonekana
Na mchezo umeishia hapo
Problem solved β
Game over
π
Soma rule #1 & #2 Kisha niambie wapi umeona nmekosea kuzitumia hizo rule katika hio puzzleRules:
1) The raft can hold either two robbers or one robber and one bag.
2) No robber can be left alone with a bag worth more than the amount he stole.
3) Two robbers cannot be left alone with bags that are together worth more than the sum of what both originally stole.
Umeangalia kwa kutumia jicho lipi hadi ukaona nimekosa mkuu, sio lazima wote tupite njia moja kila mmoja ana kipaji chake cha uwezo wa kufikiri wewe unaweza ukapita kule Mimi nikapita huku ila jibu ni lile lileSoma rules vizuri mkuu hio ni β au kinge kigumu nikutafusirie?
Soma rules vizuri mkuu hio ni β
Ndio sasa soma vizuri nilivyoitumia hio rule1) The raft can hold either two robbers or one robber and one bag.
Rule No 1 mkuu π
..inaweza beba robbers wawili au robber mmoja na bag 1
Three robbers have just robbed a bank. To escape, they need to cross a river. The first robber stole $3,000, the second stole $5,000, and the third stole $8,000.
Rules:
1) The raft can hold either two robbers or one robber and one bag.
2) No robber can be left alone with a bag worth more than the amount he stole.
3) Two robbers cannot be left alone with bags that are together worth more than the sum of what both originally stole.
How can they cross the river?
View attachment 2345977
GENIUS ONLY
You need to transfer four metal weights to the other side of the river: 1kg, 2kg, 3kg, and 4kg.
Rules:
1- Raft can carry a maximum of two metal weights.
2- The difference in total loaded weight between two successive transfers should not be greater than 1 kg.
How can you transfer all four weights to the other side of the
View attachment 2357196