Billie
JF-Expert Member
- Aug 13, 2011
- 12,726
- 19,877
duh hata kalaza nimeelewa
Tuambie umeelewaje?
duh hata kalaza nimeelewa
2+3=10
7+2=63
6+5=66
8+4=96
then:
9+7=????
Nyingi huwa zinatungwa na watu ambao akili zao haziko sawasawa... huwa wanafikiria kinyumenyumeNayo hii ni IQ test? Samahani lakini, nimekuwa nazitafuta test mbalimbali za IQ lakini sijui watu wanazitoa wapi na nani anayetunga hizo tests
Ok, here it is:
Choose any arbitrary numbers x and y.
Then use the following relation defined by Lemma * from Abstract Mathematics as
x+y=(x+y)*x
given x=2, y=3 then
2+3=(2+3)*2=5*2=10
given x=7, y=2 then
7+2=(7+2)*7=9*7=63
given x=6, y=5 then
6+5=(6+5)*6=11*6=66
given x=8, y=4 then
8+4=(8+4)*8=12*8=96
given x=9, y=7 then
9+7=(9+7)*9=16*9=144.
That's what I had, endelea kutupa test nyingi ili tujipime zaidi.