IQ test: Ukipata ujue una akili nyingi na uwezo wa kupambanua mambo kwa utulivu na usahihi

Mbwembwe kibao af unakosa. Jibu langu 30.
10+10+10=30
10+5+5=20
5+4+4=13
10+5×4=30
 
Mbwembwe kibao af unakosa. Jibu langu 30.
10+10+10=30
10+5+5=20
5+4+4=13
10+5×4=30

Baada ya kukurupuka kaa chini utafakari mambo haya Matatu uliyoshindwa kuyaona:-

1) Katika Row iliyomaliza= 20
• Hao Watu Wawili watazame Shingoni mwao Kila mmoja kavaa Kipenga Kimoja! Jumla thamani ya hicho kipenga urudie calculate.

2) Katika Row iliyomaliza = 13
• Huyo Mtu wa kwanza pia amevaa kipenga kimoja shingoni kwake! Rudia Calculation.

3) Katika Row iliyomaliza = ?
• Huyo Mtu hajavaa kipyenga Shingoni mwak, Na Hicho kipenga ni Kimoja tu sio Viwili (Kama row ya = 13). Rudia calculation.

Ulichofanya wewe ni sababu moja kubwa inayowapelekea Wadogo zetu kama sio wana wetu kufeli Mitihani yao.
 
AAA kudadekk me najua kuesabu pesa tuu nkiona VP natumia calculate yaan majibu yote hayo bado mnajiita mnajua mahesabu ? Hahahah bola muwe kama mim bashite hahaAHH . tupeni jibu bnaa
. MR Low IQ
 
Kwa iyo ndo unasemaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…