IQ test: Ukipata ujue una akili nyingi na uwezo wa kupambanua mambo kwa utulivu na usahihi

10+5*2=30

Jibu ni 30
___________
sharifusaid angalia tena hesabu zako hujafuata nidhamu ya magazijuto (bodmas)
Thamani za picha umezipatia lakini kwenye mahesabu ndiyo umechanganya kwani ikiwa kuna namba zenye kuzidishwa na kujumlishwa kwenye hesabu basi nidhamu ya MAGAZIJUTO inahusu, yaani MAbano, GAwanya, ZIdisha, JUmlisha, TOa.
Hivyo basi:-
10 + 5 X 2 = 10 + (5X2) = 10 + 10 = 20 jibu.
 
Hivi Ni Kweli Jibu halijapatikana?
Au Mtoa Mada nae hana Jibu anasumbua tuu watu hapa!?
Cc pipi mti!
 
Post ya 189 kila MTU anakosea Tuuu???
Jamaa ana Utani huyu....
Tangu February?
Cc Pipi mti!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…