IQ ni kitu muhimu kupima kwa mwenza wako

Moto wa volcano

JF-Expert Member
Jun 3, 2018
726
1,850
Kabla hauja oa au haujaolewa IQ ni kitu muhimu kupima maana doa la ndoa huwa alifutiki hata mkiachana watabaki kusema aliyekuwa mke au mume wa flani.

Wakati flani mbunge wa mkoa flani huko kusini mwa Tanzania alimwaga chozi Bungeni maana aliyekuwa mke wake alikuwa ana post nguo zake za ndani zilizotoboka mitandaoni baada ya kuachana ili kumdhalilisha.
 
IIQ bila matendo mazuri ni sawa na mavi ndani ya glass ya dhahabu.

IQ is nothing katika suala zima la matendo mema.

Matendo mema yatangulizwe iq ni mambo yasiyokuwa na uhalisia bila kuangalia matendo.
 
Umetumia mfano mbaya. Inasemekana kwamba tabia za wabunge wengi wakiwa Dodoma, kwa wake zao si rahisi kumezea.
 
Back
Top Bottom