Try to be simple but clear. Watu kimya sabbau sidhani kama kuna aliyelewa tatizo lako kulingana na maelezo yako. Inawezeana wewe unachodhanini tatizo wala sio tatizo.
Otherwise endelea kukomaa na kudodosa uelewe tatizo au jaribu kuelezea tatizo vizuri bila kujaribu kuelezea sababu ya tatizo.
Unaweza kujaribu kwenda kwenye DOS command then run ipconfig /all ii ujue kama kati ya mashine unayotumia na ISP kuna mawasiliano