G Sam
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 11,592
- 36,006
Ni aibu kusikia kuwa kampuni inayotakiwa kutoa huduma kwa kulipwa eti inalipwa mpaka "capacity charge" kwa dunia ya leo hii.
Capacity charge inayotozwa na IPTL kwa Tanesco ndiyo hasa kitu cha msingi kinachowafanya hao IPTL watembee mitano wakiringa na kutanua. Mlianguka saini wenyewe leo mnakuja na mingonjera kibao eti mnatozwa zaidi na IPTL! Mtaachaje kutozwa zaidi wakati wenyewe mlikubali kulipa mpaka uendeshaji wa mitambo?
Mlijiona matajiri na kuubeba mzigo wote wa IPTL, wabunge mizigo wa CCM kama kawaida yao akkshasema mkuu wenyewe wanagonga tu mhuri kwa upeo wao mdogo wa kugonga mihuri wasingeweza kuona hili tatizo.
Dunia ya leo hii unawaumiza wananchi walalahoi kwa kuwabebesha mzigo wa kulipa "capacity charge? " na bado leo haohao waliopitisha dude hilo wanaanza kulalamika eti tunaibiwa. Mnakera sana. Acheni IPTL akamue kilicho chake mlichomhalalishia wenyewe bila kushurutishwa na mtu. Si ndivyo mlivyo nyie wagonga mihuri wa ndiyoooooooo? hovyo kabisa.
Wenzenu huko duniani wanalipia"energy charge" ambayo ni reasonable mitambo ikibuma biashara inasitishwa hadi waone kitu kinachitwa "energy". Hapa nyie wenye hela za kutupa mlikubali wenyewe kulipia mpaka service ya mitambo pale inapobuma.
IPTL anakula jasho lake mliloridhia wenyewe kwa mikono yenu. Watanzania walilieni CCM ambao wamewafanyia hivi. Baadaye tutamsikia Polepole akija kwa mara nyingine kusema eti tunaendelea kusahihisha makosa.
Ujinga wa hali ya juu!