mkude kibwana
JF-Expert Member
- Oct 9, 2014
- 348
- 27
Watanzania wasikubali kulishwa ujinga wa namna hii na kafulila bila kujua ukweli wa ndani kwani kufanya hivyo ni kufedheheshwa na siku nyingine wasikubali kuwachagua wabunge wenye uelewa mdogo kama Kafulila maana ni majanga matupu kwetu sisi wananchi.Bora wamtore uvivu maana kazidi sana kutumika
mkuu mbona kafulila kashapelekwa mahamani au una tarifa kaka anguNyaraka hutolewa mahakamani na hazianikwi magazetini. Ikiwa wana ubavu wampeleke Kafulila mahakamani uone watakavyoumbuliwa viongozi wa nchi hii.
Watanzania wasikubali kulishwa ujinga wa namna hii na kafulila bila kujua ukweli wa ndani kwani kufanya hivyo ni kufedheheshwa na siku nyingine wasikubali kuwachagua wabunge wenye uelewa mdogo kama Kafulila maana ni majanga matupu.wataelewa tu kama ni kweli au la,hapo sasa ndipo kafulila atavyojichimbia chini kwa haibu yake hiyo ya kuwadanganya watanzania.
Watanzania wasikubali kulishwa ujinga wa namna hii na kafulila bila kujua ukweli wa ndani kwani kufanya hivyo ni kufedheheshwa na siku nyingine wasikubali kuwachagua wabunge wenye uelewa mdogo kama Kafulila maana ni majanga matupu.
Chanzo: GAZETI LA MAJIRA 8th October 2014
http://habarihuru.blogspot.com/2014/10/iptlpap-yamvaa-kafulila.html
yani wasikubali kabisa coz kafulila anatetea maslai yake na sio nchiiWatanzania wasikubali kulishwa ujinga wa namna hii na kafulila bila kujua ukweli wa ndani kwani kufanya hivyo ni kufedheheshwa na siku nyingine wasikubali kuwachagua wabunge wenye uelewa mdogo kama Kafulila maana ni majanga matupu kwetu sisi wananchi.
Watanzania wasikubali kulishwa ujinga wa namna hii na kafulila bila kujua ukweli wa ndani kwani kufanya hivyo ni kufedheheshwa na siku nyingine wasikubali kuwachagua wabunge wenye uelewa mdogo kama Kafulila maana ni majanga matupu.kweli mkuu,lakini ni kosa kuzuia haki ya mtu kuchangia mijadala muhimu kama huu,jirekebishe mkuu
kitaeleweka tu mwisho wa siku wadugu wala msiwe na shaka juu ya hili la IPTL,hapo watu ndipo watakapo kimbiana na kutokujuana kabisa kama awakuwa pamoja vile.Only in Tanzania....
kwahyo mlitegemea wakubali ufisadi? mbona report haitolewi mpaka leo?
Kafulila amefeli kutofautisha Kampuni ya IPTL iliyotokana na Muungano wa kampuni ya Mechmar (Malaysia) Berhard (70%) na VIP(30%), na kampuni ya PAP/IPTL iliyoundwa baada ya kununuliwa kampuni kwa kampuni hizo hapo juu,hivyo kitendo cha kuzungumzia utendaji kazi wa kampuni ya IPTL(CHINI YA PAP) kwa kuihusisha na kampuni ya IPTL chini ya Mechmar na VIP ni kuionea PAP na kuikosea kampuni hii ya PAP/IPTL.
Chanzo: GAZETI LA MAJIRA 8th October 2014
http://habarihuru.blogspot.com/2014/10/iptlpap-yamvaa-kafulila.html
Kafulila amefeli kutofautisha Kampuni ya IPTL iliyotokana na Muungano wa kampuni ya Mechmar (Malaysia) Berhard (70%) na VIP(30%), na kampuni ya PAP/IPTL iliyoundwa baada ya kununuliwa kampuni kwa kampuni hizo hapo juu,hivyo kitendo cha kuzungumzia utendaji kazi wa kampuni ya IPTL(CHINI YA PAP) kwa kuihusisha na kampuni ya IPTL chini ya Mechmar na VIP ni kuionea PAP na kuikosea kampuni hii ya PAP/IPTL.Haufatiri kwa makini vyombo vya habari.
Rai (Nguvu ya Hoja) toleo na 1166, tarehe 2-8 oktoba
View attachment 191988 View attachment 191989
Tusubiri novemba bungeni.
Kafulila amefeli kutofautisha Kampuni ya IPTL iliyotokana na Muungano wa kampuni ya Mechmar (Malaysia) Berhard (70%) na VIP(30%), na kampuni ya PAP/IPTL iliyoundwa baada ya kununuliwa kampuni kwa kampuni hizo hapo juu,hivyo kitendo cha kuzungumzia utendaji kazi wa kampuni ya IPTL(CHINI YA PAP) kwa kuihusisha na kampuni ya IPTL chini ya Mechmar na VIP ni kuionea PAP na kuikosea kampuni hii ya PAP/IPTL.kwahyo mlitegemea wakubali ufisadi? mbona report haitolewi mpaka leo?
kaka mbona amna ufisad pale tatizo lako umekalili na unetakakujua ukweli ungefanya uchambuzi wako au ungefatilia mwenye mwanzo hadi mwisho wa mchakato huu na sio kuchukua mawazo ya upande mmoja na kutoa conclussionkwahyo mlitegemea wakubali ufisadi? mbona report haitolewi mpaka leo?
kweli kabisa mkuu wangu jamaa naona afaatilee kabisa huu mchakatoHaufatiri kwa makini vyombo vya habari.