IPTL/PAP wamvaa David Kafulila

Hilo nmeliona mkuu,ukizingatia na anguko la kisiasa kwenye chama chake, bila shaka anatafuta kick aonekane shujaa au hongo za washindani wa IPTL..Hivi mbona hili suala yupo mwenyewe tu,hujiuliz????

The VIP agreed to withdraw the petition for winding up IPTL with conditions that PAP shall pay to VIP 75.0million US dollars to acquire its shares, commits before the High Court pay off all legitimate creditors of IPTL and expand the Power Plant Capacity from 100 MW to about 500MW as soon as possible.

PAP was also required to commit itself before High Court that IPTL shall charge Tanesco a tariff of between US Cent 6/kWh (TZS 100/unit) and US Cent 8/kWh (TZS 130/unit), making the capacity charges the cheapest in the country.
 
Chanzo: GAZETI LA MAJIRA 8th October 2014

http://habarihuru.blogspot.com/2014/10/iptlpap-yamvaa-kafulila.html

IPTL inachafuliwa taswira yake bila sababu ila palipo na ukweli uongo hujitenga, watanzania wameanza kujua uongo wa baadhi ya wanasiasa wanaojitafutia umaarufu kupitia kuchafua kampuni za watu
 
Hao IPTL wezi tu Kafulila yupo sahihi kama sio wezi kwanini wahisani wamekataa kutoa pesa mpaka uchunguzi wa jambo hili ukamilike
Mataifa wahisani wamechelewesha msaada wa kuipiga jeki bajeti ya Tanzania hadi pale uchunguzi kuhusu madai ya ufisadi katika sekta ya nishati utakapotolewa na hatua muafaka kuchukuliwa. Kundi la wahisani hao linalojumuisha Finland, Ujerumani, Uingereza, Norway, Sweden, Denmark, Kamisheni ya Umoja wa Ulaya, Ireland, Canada, Japan, Benki ya Dunia na Benki ya Maendeleo ya Afrika, hadi sasa wametoa kiasi cha dola milioni 69 kama sehemu ya ahadi ya msaada wa dola milioni 558 kukidhi mahitaji katika bajeti ya Tanzania. Je, unaunga mkono hatua hiyo ya wahisani?
Chanzo:DW (Kiswahili) ya tarehe 13 Octoba
 
Mkuu! usitishike na hao wahisani kwani asilimia kubwa ndio wanufaika wakuu wa symbion ambayo inabebwa na mabeberu wa maghalibi, kwahiyo wanajitahidi kuwasaidia standard charters kuichafua IPTL. sasa kwenye hili nashangaa hata huyo Kafulila kila siku huwa wanaponda. serikali kuwa inategemea misaada sasa hataki kuipongeza kutowabembeleza hawa wazungu yeye tena na group lake wamegeuka kuwa madalali wa wazungu? njaa ikihamia kichwani mbaya sana
 
Wewe ndie usiyefahamu,yule singasinga mmiliki wa PAP amelipwa fedha na bot kutoka escrow akaunti alafu ndo akaenda kuinunua hiyo vip
 
IPTL inachafuliwa taswira yake bila sababu ila palipo na ukweli uongo hujitenga, watanzania wameanza kujua uongo wa baadhi ya wanasiasa wanaojitafutia umaarufu kupitia kuchafua kampuni za watu

mkuu wananchi hata ukisema iptl wanashangaa ndio nini? ninyi wanasiasa ndio mnajuana mnafanya nin? endeleni kutuahanda watanzania
 
Watanzania wapi sasa mkuu? Maana mimi mwenyewe ni mwananchi wa kawaida mbona naijua IPTL na umuhimu wake kwenye swala zima la umeme
 
IPTL wezi tu ngoja CAG atoe ripoti lazima baadhi ya mawaziri wang'oke wakiongozwa na Mwanasheria mkuu wa serikali na katibu mkuu wizara ya nishati na madini.Wewe huna akili kabisa IPTL mkombozi wa watanzania njoja tuone nani kati ya Werema na Kafulila na nani mshenzi kati ya Maswi na Kafulila
 
Haya na tuone yetu macho na masikio,
 
Mkuu usiukumu kabla ujaukumiwa
Unaushaidi gani kama iptl wezi acha kuongea bila fact mkuu
 
Kafulila atakoma kuingilia mambo ya kampuni binafsi, hivi kwani hawezi kupigania viwanda vya mawese vinavyoendela kufilisika kila siku huko kigoma badala ya kuingilia kampuni ambayo iko pale kisheria
IPTL/PAP ni mmiliki halali aliyefuata taratibu zote na malipo aliopewa kutoka akaunti ya ESCROW ni halali na hakuna vitendo vya kifisadi vyovyote kama inavyodaiwa kwenye vyombo vya habari na kwenye mitandao ya kijamii ila umma utakuja kuelewa tu katika suala hili, wanaozungumza wanatumiwa kwa kuwa IPTL/PAP ndio kampuni inayoiuzia umeme kwa bei nafuu Shirika la Umeme Tanzania(TANESCO) kuliko kampuni zote na kinachofanyika ni wivu tu wa kibiashara.
 
Mkuu usiukumu kabla ujaukumiwa
Unaushaidi gani kama iptl wezi acha kuongea bila fact mkuu
IPTL/PAP ni mmiliki halali aliyefuata taratibu zote na malipo aliopewa kutoka akaunti ya ESCROW ni halali na hakuna vitendo vya kifisadi vyovyote kama inavyodaiwa kwenye vyombo vya habari na kwenye mitandao ya kijamii ila umma utakuja kuelewa tu katika suala hili, wanaozungumza wanatumiwa kwa kuwa IPTL/PAP ndio kampuni inayoiuzia umeme kwa bei nafuu Shirika la Umeme Tanzania(TANESCO) kuliko kampuni zote na kinachofanyika ni wivu tu wa kibiashara.
 
IPTL/PAP ni mmiliki halali aliyefuata taratibu zote na malipo aliopewa kutoka akaunti ya ESCROW ni halali na hakuna vitendo vya kifisadi vyovyote kama inavyodaiwa kwenye vyombo vya habari na kwenye mitandao ya kijamii ila umma utakuja kuelewa tu katika suala hili, wanaozungumza wanatumiwa kwa kuwa IPTL/PAP ndio kampuni inayoiuzia umeme kwa bei nafuu Shirika la Umeme Tanzania(TANESCO) kuliko kampuni zote na kinachofanyika ni wivu tu wa kibiashara.
 
IPTL inachafuliwa taswira yake bila sababu ila palipo na ukweli uongo hujitenga, watanzania wameanza kujua uongo wa baadhi ya wanasiasa wanaojitafutia umaarufu kupitia kuchafua kampuni za watu
IPTL/PAP ni mmiliki halali aliyefuata taratibu zote na malipo aliopewa kutoka akaunti ya ESCROW ni halali na hakuna vitendo vya kifisadi vyovyote kama inavyodaiwa kwenye vyombo vya habari na kwenye mitandao ya kijamii ila umma utakuja kuelewa tu katika suala hili, wanaozungumza wanatumiwa kwa kuwa IPTL/PAP ndio kampuni inayoiuzia umeme kwa bei nafuu Shirika la Umeme Tanzania(TANESCO) kuliko kampuni zote na kinachofanyika ni wivu tu wa kibiashara.
 
Ni kweli mkuu, watu wengi wanadanganywa kwa kukosa uelewa juu ya PAP/IPTL
 
chamsingi kafulila aache kutumika tu hao wafanyabiashara waliomtuma kulishikia bango suala la escrow kwa maslahi yao binafsi.ukweli upo wazi na imebainika kama kafulila kuwa anatumiwa na wafanyabiasha ili kuidhoofisha na kuipaka matoke kampuni ya iptl/pap.
 
Huyu jamaa jimbo lake limemshinda kuliletea maendeleo anaishia kufanya kazi ya udalali Dar es salaam, katiba inatakiwa kuwabana wanasiasa uchwara kama huyu Kafulila. hafai kabisa, yeye kwa akili yake alitaka Iptl isilipwe fedha zake? aende huko akadanganye mambulula wenzie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…