IPTL kushusha bei ya umeme kutoka sh 450 hadi sh 80 kwa Uniti

Hivi mbona kama nanunuaga unit 1 Tsh.305.85??

Yani watashusha mpaka Tsh.80 kwa unit 1???

Kwa serikali ya ccm itawezekana kweli kwa jinsi walivyo mafisadi????? Ritz!

Tanesco
MUNICIPAL SERVICES
TAX INVICE.

Credit Token

DATE; 25/09/2014 08:19:11
CONSUMER: CHRISTINA DANIEL.
STAND: 37M0241888UTH9628313
ACCOUNT: AGR286451166
METER No;01343703623
ADDRESS: 000008------
MIANZINI

Summary

TOTAL UNIT COST TSH 12,295.08[40.2kw @305.85/kwh]
 
Last edited by a moderator:
Wizi mtupu Mkuu katika jitihada zao za kutuzuga Watanzania kuhusiana na wizi mkubwa wa shilingi bilioni 200.

Hivi mbona kama nanunuaga unit 1 Tsh.305.85??

Yani watashusha mpaka Tsh.80 kwa unit 1???

Kwa serikali ya ccm itawezekana kweli kwa jinsi walivyo mafisadi????? Ritz!

Tanesco
MUNICIPAL SERVICES
TAX INVICE.

Credit Token

DATE; 25/09/2014 08:19:11
CONSUMER: CHRISTINA DANIEL.
STAND: 37M0241888UTH9628313
ACCOUNT: AGR286451166
METER No;01343703623
ADDRESS: 000008------
MIANZINI

Summary

TOTAL UNIT COST TSH 12,295.08[40.2kw @305.85/kwh]
 
Kutokana na makubaliano yaliyomo katika PPA iliyoanzisha Akaunti ya ESCROW, fedha zilizowekwa kwenye Akaunti ya ESCROW zilitakiwa kulipwa kwa IPTL baada ya tofauti zao kumalizika. Aidha katika uamuzi wa Mahakama Kuu WA Septemba 5, 2013, iliamuliwa kuwa fedha zote zilizokuwa katika ESCROW zilipwe kwa IPTL na Akaunti ya ESCROW ifungwe na kwamba IPTL iwalipe wadai wake wote. Kutokana na uamuzi huo, Fedha za ESCROW zilitakiwa kulipwa kwa IPTL baada ya tofauti zake na TANESCO kumalizika na si vinginevyo.

View attachment 192341
PAP/IPTL ina dhamira kubwa kwa watanzania na inasononeka
kwa kiasi kikubwa na kauli za wanasiasa uchwara wanazotoa
dhidi yao kwa lengo la kuichafua heshima iliyojijengea
kampuni hiyo mbele ya watanzania kwa umma kuwa ni ovu na
hazina tija kwa taifa letu na kuwaomba watanzania
kuzipuuza kauli hizo kwa kuwa hazina msingi wowote,kwa
kuwa kauli hizo zinatolewa na wanasiasa wanaotumiwa na
kampuni pinzani na IPTL ili kuwachafua.
 
Bei ya umeme sawa na kuchunwa ngozi..eeeh mungu tuokoe. Kama tanesco wakipunguziwa kiasi hicho itakua dhambi isiyo na msamaha kama watumiaji tutaendelea kukamuliwa hadi kutoa damu.
 
(i)which was meant to support the country's 2014/15 general budget, has been suspended pending the release of the IPTL probe reports.

(ii)The donors, said the Finland ambassador, would for the time being wait for the final CAG report before making any categorical commitment to support the national budget.

(iii) "Development partners are now awaiting the CAG report and information about its key findings, as well as a response from government, which will determine our decisions on further disbursements," said the envoy.

USIPOTOSHE UMMA , DONORS WANASUBIRI RIPOTI YA CAG, THIS DOES NOT MEAN WAMECONCLUDE KUWA KUNA UFISADI. DONORS WANASUBIRI FINDS ZA CAG NA KAMA KUNA UFISADI KWELI NI HATUA GANI ZITACHUKULIWA. HIKI NDIO KAFULILA ALICHOFAULU KUKIFANYA, UJINGA WAKE YEYE WA MASLAHI YAKE UNALIUMIZA TAIFA. KAFULILA TUTAMUHUKUMU WATANZANIA KWA KUTUCHELEWESHEA WATANZANIA UTEKELEZAJI WA BAJETI YETU. UPUUZI WA KAFULILA UNAWAGHARIMU MPAKA SHANGAZI ZAKE KAKONKO KULE.
 
Habari leo lipo mikononi mwa wezi.

Matatizo ya IPTL yameandikwa sana kwa madai kwambamkataba wa IPTL ni wa kifisadi. Kwamba IPTL ni dili ya watundani na nje ya serikali wenye nia ovu ya kulifilisi taifa nakuondosha mtaji ndani ya nchi kwa faida binafsi.Mahakamani sasa kuna kesi ya mwekezaji Mapango ambaye niMtanzania anayeishi Afrika ya Kusini dhidi ya kampuni yaStatoil ambayo anadai ilimrubuni na kumlazimisha kuachiasehemu yake ya ubia katika vitalu vilivyogunduliwa kuwa nagesi.Makampuni ya kimataifa niliyoyataja na miradiinayotekelezwa na makampuni hayo, yanaonyesha mamboyafuatayo: mazingira ya kwetu kuwekeza na kutekelezamiradi ya kimataifa yana nakisi ya utawala bora, kunamapungufu ya usimamizi wa utekelezaji miradi mikubwa naMashirika makubwa ya kimataifa yanayowekeza hayajalimashirika ya wazawa ambayo wanashirikiana (kiubia)kutekeleza miradi mikubwa.Ni wazi kwamba makampuni ya wawekezaji ya kimataifahayatambui na kuthamini wabia wenzao ambayo ni makampuniya wazawa.Kampuni za wazalendo za kushirikiana na makampuni yakigeni, zina wajibu mkubwa wa kujifunza mbinu za uwekezajina ufanyaji biashara wa kimataifa. Pamoja na hayomakampuni ya wazawa ni jicho la kizalendo kuhusu ninikinaendelea katika miradi mikubwa ya kujenga miundombinuna kufua umeme kwa ajili ya maendeleo. Kwa kiasi ganiwawekezaji wa ndani walio katika ubia na mashirika makubwaya nje wanatazama masuala ya ushiriki wao nje ya ubinafsina majaliwa yao.
 
Bei ya umeme sawa na kuchunwa ngozi..eeeh mungu tuokoe. Kama tanesco wakipunguziwa kiasi hicho itakua dhambi isiyo na msamaha kama watumiaji tutaendelea kukamuliwa hadi kutoa damu.

Matatizo ya IPTL yameandikwa sana kwa madai kwambamkataba wa IPTL ni wa kifisadi. Kwamba IPTL ni dili ya watundani na nje ya serikali wenye nia ovu ya kulifilisi taifa nakuondosha mtaji ndani ya nchi kwa faida binafsi.Mahakamani sasa kuna kesi ya mwekezaji Mapango ambaye niMtanzania anayeishi Afrika ya Kusini dhidi ya kampuni yaStatoil ambayo anadai ilimrubuni na kumlazimisha kuachiasehemu yake ya ubia katika vitalu vilivyogunduliwa kuwa nagesi.Makampuni ya kimataifa niliyoyataja na miradiinayotekelezwa na makampuni hayo, yanaonyesha mamboyafuatayo: mazingira ya kwetu kuwekeza na kutekelezamiradi ya kimataifa yana nakisi ya utawala bora, kunamapungufu ya usimamizi wa utekelezaji miradi mikubwa naMashirika makubwa ya kimataifa yanayowekeza hayajalimashirika ya wazawa ambayo wanashirikiana (kiubia)kutekeleza miradi mikubwa.Ni wazi kwamba makampuni ya wawekezaji ya kimataifahayatambui na kuthamini wabia wenzao ambayo ni makampuniya wazawa.Kampuni za wazalendo za kushirikiana na makampuni yakigeni, zina wajibu mkubwa wa kujifunza mbinu za uwekezajina ufanyaji biashara wa kimataifa. Pamoja na hayomakampuni ya wazawa ni jicho la kizalendo kuhusu ninikinaendelea katika miradi mikubwa ya kujenga miundombinuna kufua umeme kwa ajili ya maendeleo. Kwa kiasi ganiwawekezaji wa ndani walio katika ubia na mashirika makubwaya nje wanatazama masuala ya ushiriki wao nje ya ubinafsina majaliwa yao.
 
Wanaukumbi.

Kampuni ya Pan Africa Power Solution inayomiliki IPTL imesema mchakato wa kushusha bei ya umeme kutoka Tsh 450 hadi Tsh 80/ uniti uko mbioni kukamilika.
Matatizo ya IPTL yameandikwa sana kwa madai kwambamkataba wa IPTL ni wa kifisadi. Kwamba IPTL ni dili ya watundani na nje ya serikali wenye nia ovu ya kulifilisi taifa nakuondosha mtaji ndani ya nchi kwa faida binafsi.Mahakamani sasa kuna kesi ya mwekezaji Mapango ambaye niMtanzania anayeishi Afrika ya Kusini dhidi ya kampuni yaStatoil ambayo anadai ilimrubuni na kumlazimisha kuachiasehemu yake ya ubia katika vitalu vilivyogunduliwa kuwa nagesi.Makampuni ya kimataifa niliyoyataja na miradiinayotekelezwa na makampuni hayo, yanaonyesha mamboyafuatayo: mazingira ya kwetu kuwekeza na kutekelezamiradi ya kimataifa yana nakisi ya utawala bora, kunamapungufu ya usimamizi wa utekelezaji miradi mikubwa naMashirika makubwa ya kimataifa yanayowekeza hayajalimashirika ya wazawa ambayo wanashirikiana (kiubia)kutekeleza miradi mikubwa.Ni wazi kwamba makampuni ya wawekezaji ya kimataifahayatambui na kuthamini wabia wenzao ambayo ni makampuniya wazawa.Kampuni za wazalendo za kushirikiana na makampuni yakigeni, zina wajibu mkubwa wa kujifunza mbinu za uwekezajina ufanyaji biashara wa kimataifa. Pamoja na hayomakampuni ya wazawa ni jicho la kizalendo kuhusu ninikinaendelea katika miradi mikubwa ya kujenga miundombinuna kufua umeme kwa ajili ya maendeleo. Kwa kiasi ganiwawekezaji wa ndani walio katika ubia na mashirika makubwaya nje wanatazama masuala ya ushiriki wao nje ya ubinafsina majaliwa yao.
 
(i)which was meant to support the country’s 2014/15 general budget, has been suspended pending the release of the IPTL probe reports.

(ii)The donors, said the Finland ambassador, would for the time being wait for the final CAG report before making any categorical commitment to support the national budget.

(iii) “Development partners are now awaiting the CAG report and information about its key findings, as well as a response from government, which will determine our decisions on further disbursements,” said the envoy. KAFULILA TUTAMUHUKUMU WATANZANIA KWA KUTUCHELEWESHEA WATANZANIA UTEKELEZAJI WA BAJETI YETU. UPUUZI WA KAFULILA UNAWAGHARIMU MPAKA SHANGAZI ZAKE KAKONKO KULE.
Ingekuwa ni upuuzi CAG asingefanya Uchunguzi. Utamhukumu Wewe usiwasemee watanzania. Tusubiri ripoti ya CAG
 
Upuuzi tuu! Mbioni,,,mbioni,,tuta,,tuta,,tunampango,,tutaleta,,tupo kwenye mchakato,,upembuzi yakinifu. Yaani miaka 52 sasa ni porojo tuu.
Mke wa mkuu anatawanya pesa za walalahoi anavikwa vito kwa pesa za wananchi. Na yeye anajiona raisi.

Hahhah!

Hivi ile ya RICHMOND si Inatumia GAS? Kwani Bei yao Ikoje?
 
Seth PAP arudishe 200b zetu asituletee story za shigongo na abunuasi.

Maandishi kama haya watu aina ya Ruttashobolwa na gambaz hawapenzi uandike bhana. Kungekuwa na kitufe cha Dislike wangekugongea.

Hahaaaaa hawa PAP tangu lini wameanza kuwa wasemaji wa serikali ya gambaz hadi wapange na bei ya umeme kwa nchi
 
Back
Top Bottom