byembalilwa
JF-Expert Member
- Aug 7, 2012
- 2,066
- 951
Jana ilikuwa Azam wapunguze udini... Leo IPP kesho itakuwa METL nadhan
Naona una jaribu kumsaidia mzee bakresa baada ya watu kulalamika kuwa kaajiri Waislam 99%kwenye kampun yake
Mwambieni tu bakresa hata makafiri Ni wateja wake
yaani ni balaa tubalaa hapo hujaingia CRDB
Kwa mengi mngesema ukabila ningewaelewa ila kwenye udini sidhani ila ukabila nauona kwa mbaliNajua wengi mnafaham hizi kampuni zinazosimamiwa na Mwenyekiti wake ambaye ni DR.Mengi ,hii kampuni kwa waislam na wasabato kupata kazi ni vigum sana iwe hata kazi ndogo ndogo.
imefikia hatua hata ukipata kwa bahati mbaya kama ni binti wa kiislam haurusiwi kuvaa ushungi..kumbukeni vituo na magezeti yenu wateja wake ni wa dini zote
Yule mzee udini umekalia kooni akiona Jina Jose unakosa kaziLabda vigezo ni "islamic principles" kama lile tangazo la hoteli yake ya kitalii Zanzibar.
kwani azam two hauoni?Ipp hakunaga udini kule sifa zako zinakupa kazi
Sikiliza redio au angalia Tv kama huwezi Jina la juma
Duuu ukienda kuomba kazi km unatumia Jina la kikabila wanaangalia mchubuo usoni ahahaMwambieni Bakhresa apunguze udini.....
Charles Hilary yuko wapi mkuu??Yule mzee udini umekalia kooni akiona Jina Jose unakosa kazi
Ivona Kamutu na wenzake ni muislam...?Labda vigezo ni "islamic principles" kama lile tangazo la hoteli yake ya kitalii Zanzibar.
haha mchubuo tena!!Duuu ukienda kuomba kazi km unatumia Jina la kikabila wanaangalia mchubuo usoni ahaha