IPP media imedanganya kuhusu JWTZ?

Kwani Da' Jakiline amesemaje kuhusu hao waandishi wanaoharibu kampuni ambayo mzee wake ndie mwenyekiti?
 
Kwani Da' Jakiline amesemaje kuhusu hao waandishi wanaoharibu kampuni ambayo mzee wake ndie mwenyekiti?
Mkuu, usikute yeye ndio kawaleta shoga zake kuwa wahariri bila kuwa na sifa, tofauti na alivyofanya mzee wake huko nyuma!
 
Waandishi wa habari wa Tanzania ni wavivu.

Uliona hata ile ajali ya kivuko walivyoripoti picha za uongo. Waliweka picha moja ya ajali ya boti huko bahari za mbali watu wakitapatapa wakawaaminisha watu ni picha ya ajali ya MV Nyerere. Wavivu sana hawa watu.
 
Siku hizi iTV ni kama tbc tu.. wanaimba stori zile zile.. Majuzi mbowe na kamati kuu walipofanya press conference juu ya kuachana na chaguzi za marudio nikajua ile ni habari kubwa watakua nayo. Nikataka kuona walivyoongea. Nimeangalia taarifa ya usiku saa 2 hadi 3 hata hawakugusia kbs, kama tbc tu.. Afu utasikia kila mara ooh "super brand", hovyo kabisa. Afadhali channel 10, na star tv
 
Waandishi wa habari wa Tanzania ni wavivu.

Uliona hata ile ajali ya kivuko walivyoripoti picha za uongo. Waliweka picha moja ya ajali ya boti huko bahari za mbali watu wakitapatapa wakawaaminisha watu ni picha ya ajali ya MV Nyerere. Wavivu sana hawa watu.

Naona wamefulia. Hawawezi kununua picha au kutuma wapiga picha wao. Lakini pcha ya JWTZ kwa kweli ni uvivu wa kufanya kazi na kufikiri
 
Back
Top Bottom