Hacker mbona unakuwa muongo muongo.
IPP media wanatumia domain ya
ippmedia.com na htttps wala sio http kama hiyo link uliyoeka.
Na website ipo live
Sasa kama umeshindwa kujua ipi ni tovuti halisi ya ipp utaweza kuhack kweli ww.
Hack ipp yenyewe halafu urudi tena sio hiyo tovuti mliotengeneza wenyewe.